Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

Bongo toka uchaguzi mkuu uliopita uongozi ulishushwa hadhi na kuonekana kama ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kufanya.ule uzito wa dhamana ya uongozina hadhi yake ulipungua sana
💯% uko sahihi kabisa.
 
Watu wakikatwa kwa kukosa sifa mnalalamika kuwa demokrasia imesiginwa.
Wakiachwa mnalalamika pia uongozi unashushwa hadhi yake sasa mnataka nn wajameni??

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.

Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Ni Haki yake kwa Mujibu wa Katiba. Mengine nadhan shida inaanzia kwenye kiti baada ya Kiti kupoteza mvuto na mamlaka yake ivo kila mmoja anaona anaweza kukimudu kiti.
 
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.

Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Yule mtani wako aliyefurushwa ameifanya hii nafasi ionekane ya Kawaida sana kila mtu anaweza kuiendesha.
 
Ukiambiwa Katiba imeoza inahitaji mabadiliko ni kwaajili ya Mambo kama haya.. kulitakiwa kuwe na mchujo wa Hali ya juu kumoata speaker wa Bunge sio watu walio vujisha video chafu nao wanapewa form hata kama wanachangia chama wanapotoa pesa kuchukua form.. bado huo ni upumbavu wa grid ya taifa..
Watu wa video chafu wana thamani kubwa sana CCM, mmoja kagombea usipika, mwingine mbunge jiji kubwa, wa tatu Mkuu wa wilaya Mji kasoro bahari.
 
Ukitambua kuwa alikuwa anatafuta attention nasi great thinker tukaingia kwny huo Mtego hadi tukamfungulia thread tambua jamaa kafanikiwa mpango wake
Hivi Kumjadili huyu Mpumbavu ambaye nahisi unafanana nae ndiyo Kufanikiwa Kwake na kumpa huko Kiki kama usemavyo?
 
Back
Top Bottom