May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Hao wanaongeza mapato maana ile fomu inalipiwa.anajua analeta comedy na inakera ila pia angekataliwa kupewa formu ilete fundisho kwa wanaoleta usanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanaongeza mapato maana ile fomu inalipiwa.anajua analeta comedy na inakera ila pia angekataliwa kupewa formu ilete fundisho kwa wanaoleta usanii
Sent using Jamii Forums mobile app
💯% uko sahihi kabisa.Bongo toka uchaguzi mkuu uliopita uongozi ulishushwa hadhi na kuonekana kama ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kufanya.ule uzito wa dhamana ya uongozina hadhi yake ulipungua sana
Ni Haki yake kwa Mujibu wa Katiba. Mengine nadhan shida inaanzia kwenye kiti baada ya Kiti kupoteza mvuto na mamlaka yake ivo kila mmoja anaona anaweza kukimudu kiti.Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.
Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Yule mtani wako aliyefurushwa ameifanya hii nafasi ionekane ya Kawaida sana kila mtu anaweza kuiendesha.Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.
Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Watu wa video chafu wana thamani kubwa sana CCM, mmoja kagombea usipika, mwingine mbunge jiji kubwa, wa tatu Mkuu wa wilaya Mji kasoro bahari.Ukiambiwa Katiba imeoza inahitaji mabadiliko ni kwaajili ya Mambo kama haya.. kulitakiwa kuwe na mchujo wa Hali ya juu kumoata speaker wa Bunge sio watu walio vujisha video chafu nao wanapewa form hata kama wanachangia chama wanapotoa pesa kuchukua form.. bado huo ni upumbavu wa grid ya taifa..
Hivi Kumjadili huyu Mpumbavu ambaye nahisi unafanana nae ndiyo Kufanikiwa Kwake na kumpa huko Kiki kama usemavyo?Ukitambua kuwa alikuwa anatafuta attention nasi great thinker tukaingia kwny huo Mtego hadi tukamfungulia thread tambua jamaa kafanikiwa mpango wake