GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inakukera? Ndivyo nilivyo na sitoacha!!!!We jamaa unaandikaga law msisitizo kama unaongea vilee
Duh... AfricaKwa maoni yangu utafiti mpya wa magonjwa ya akili ufanywe kwa huyu Rais anaehamasisha viongozi kutafuna nchi kwa staha na kujipimia rasilimali za nchi.
View attachment 2081799
Jamaa anafanya mambo ambayo yanaonekana ya kipuuzi ila siku hizi mambo ya kipuuzi na uchawa inaelekea unalipa kuliko mambo ambayo tunahisi ni ya maana. Mfano, ni rahisi kwake kukutana na mkuu wa mkoa kuliko watu wengi.Yule Mwijaku ni mpuuzi, anapenda kutafuta attention za kijinga. Anapaswa kulambwa kitolea uchafu ili aache upuuzi kwenye mambo serious.
Mkuu naona umesahau.Bongo toka uchaguzi mkuu uliopita uongozi ulishushwa hadhi na kuonekana kama ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kufanya.ule uzito wa dhamana ya uongozina hadhi yake ulipungua sana
Ukiambiwa Katiba imeoza inahitaji mabadiliko ni kwaajili ya Mambo kama haya.. kulitakiwa kuwe na mchujo wa Hali ya juu kumoata speaker wa Bunge sio watu walio vujisha video chafu nao wanapewa form hata kama wanachangia chama wanapotoa pesa kuchukua form.. bado huo ni upumbavu wa grid ya taifa..Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.
Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Rais wa nchi ameagiza kuwa viongozi watafune Nafaka ya nchi kwa staha kwani wamekuwa wakiitafuna kwa ulafi hadi wanavimbiwa😁😁😁Duh... Africa
Yule Mwijaku ni mpuuzi, anapenda kutafuta attention za kijinga. Anapaswa kulambwa kitolea uchafu ili aache upuuzi kwenye mambo serious.
Kama Ndugai ameweza kuwa Spika ni nani hawezi hiyo kazi ya Uspika?Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.
Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.