Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]vituko viko vingi sana nchini
 
Asee we mtu ni adui mkubwa wa Simba.

Kama kuna mtu wa kuangalia kwa makini ni wewe.Ulimsema sana Matola,ukamwita kirusi,umesema watu wengi sana kuwaita virusi pale Simba.Sasa unamsema Ahmed Ally kuwa ni kirusi!??Hivi ni nani hasa ndiye mwana Simba?Maana naona unataka kuiua Simba kabisa kwa propaganda! Nani anakulipa kwa haya?

Sisi tunajua hata GSM ni mwana Simba na hadi kadi anayo,lakini mbona yanga hawajali hilo?

Acheni siasa za kichawi kwenye soka mtakatisha tamaa watu wanaojitoa kusaidi a timu.Maana kuna mashabiki wapuuzi wakikusikia wanaweza kukuamini
 
Hata Boss mo na yanga lialia sema yupo Simba kimaslai
 
Wewe ni haji manara,tumekustukia...
 
Kuwajaza umewajaza wamejaa!
 
Kwahiyo Simba Day ijayo ya tsrehe 6 August, 2023 ndiyo ituzuie kuongelea au kusemea Mapungufu yaliyoko?

Sina Unafiki na Upumbavu huo tafadhali.
Tatizo Mwanamsimbazi mwenzangu unaamini unajua kila kitu na upo sahihi muda wote, lakini hili ukiangalia tu muda lilipoibuka ni wazi watani wamelileta ili kufanya tamasha letu libume kama la kwao lilivyobuma, uzuri viongozi wameamua kukaa kimya kama hawasikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…