Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]vituko viko vingi sana nchini
 
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja na Majirani kuwa hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa Kitendo cha Haji Manara kwenda Yanga SC, aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuhusishwa kutaka kuhamia Yanga SC, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally nathubutu Kukiri wazi hapa JamiiForums kuwa Simba SC ni Mabingwa wa Umafia ila Yanga SC ni Mabingwa wa Ujasusi na wanaujua na kutujulia mno wana Simba SC.

Taratibu sasa naanza Kuamini Kauli ya Haji Manara (aliyekuwa Msemaji wa Simba SC) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa miaka Kumi ( 10 ) mfululizo.

Pia GENTAMYCINE sasa nimeelewa ni kwanini Uongozi wa Simba SC tokea Mwezi February mwaka huu (2023) ilipanga Kumfuta Kazi Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya Kiongozi Mmoja (namhifadhi) kusema ni Kirusi (akimaanisha ni mwana Yanga SC) ila Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji akakataa asiondolewe akiamini ni mwana Simba SC wakati tayari 75% ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC wanajua kuwa ni Kirusi na Kitatugharimu Simba SC hata kama tunajipanga na Kujidhatiti kwa Usajili mkubwa na mzuri.
Asee we mtu ni adui mkubwa wa Simba.

Kama kuna mtu wa kuangalia kwa makini ni wewe.Ulimsema sana Matola,ukamwita kirusi,umesema watu wengi sana kuwaita virusi pale Simba.Sasa unamsema Ahmed Ally kuwa ni kirusi!??Hivi ni nani hasa ndiye mwana Simba?Maana naona unataka kuiua Simba kabisa kwa propaganda! Nani anakulipa kwa haya?

Sisi tunajua hata GSM ni mwana Simba na hadi kadi anayo,lakini mbona yanga hawajali hilo?

Acheni siasa za kichawi kwenye soka mtakatisha tamaa watu wanaojitoa kusaidi a timu.Maana kuna mashabiki wapuuzi wakikusikia wanaweza kukuamini
 
Hata Boss mo na yanga lialia sema yupo Simba kimaslai
 
GENTAMYCINE nahusishwa na Kila Mtu tu maarufu hapa Tanzania na mlichobakiza sasa ni kunihusisha tu Rais Joe Biden wa Marekani.

Wanaonijua vyema, uhalisia wangu na hii ID hasa Mdogo wangu wa Damu kabisa na Member hapa JamiiForums aitwae steveachi, Jirani yangu Bujibuji Simba Nyamaume anayewajua hadi Ndugu ( Kaka zangu wa Kizanaki ) na Marafiki zangu Watatu walioko TISS, Wanne walioko JWTZ, Wahadhiri wangu Wawili SAUT Mwanza, Mabosi zangu Watatu wa zamani ( ndani ya Ofisi Moja ) na waliokuwa Watendaji wa Ofisi hiyo wapatao Ishirini ( 20 ) wakiona hii post yako ukisema Mimi GENTAMYCINE ni Haji Manara si tu Watakushangaa bali watakuona ni Mpumbavu mno.

Wengi wenu mnatamani sana Kunijua GENTAMYCINE ila nina uhakika mkiambiwa huyu ( yule ) ndiyo GENTAMYCINE Mfalme wa Mijadala na Masuala Mtambuka JamiiForums hamtoamini kwani ni Mtu Mmoja wa Kawaida mno na najua Kubadilika badilika kulingana na Wakati, Eneo na Watu ninaokuwa nao.

Kiufupi nimebarikiwa Vingi na Mungu.

Cc: Arovera, PakiJinja, Bila bila, adriz, Shunie, cocastic, Kaka pembe etc
Wewe ni haji manara,tumekustukia...
 
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja na Majirani kuwa hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa Kitendo cha Haji Manara kwenda Yanga SC, aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuhusishwa kutaka kuhamia Yanga SC, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally nathubutu Kukiri wazi hapa JamiiForums kuwa Simba SC ni Mabingwa wa Umafia ila Yanga SC ni Mabingwa wa Ujasusi na wanaujua na kutujulia mno wana Simba SC.

Taratibu sasa naanza Kuamini Kauli ya Haji Manara (aliyekuwa Msemaji wa Simba SC) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa miaka Kumi ( 10 ) mfululizo.

Pia GENTAMYCINE sasa nimeelewa ni kwanini Uongozi wa Simba SC tokea Mwezi February mwaka huu (2023) ilipanga Kumfuta Kazi Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya Kiongozi Mmoja (namhifadhi) kusema ni Kirusi (akimaanisha ni mwana Yanga SC) ila Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji akakataa asiondolewe akiamini ni mwana Simba SC wakati tayari 75% ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC wanajua kuwa ni Kirusi na Kitatugharimu Simba SC hata kama tunajipanga na Kujidhatiti kwa Usajili mkubwa na mzuri.
Kuwajaza umewajaza wamejaa!
 
Kwahiyo Simba Day ijayo ya tsrehe 6 August, 2023 ndiyo ituzuie kuongelea au kusemea Mapungufu yaliyoko?

Sina Unafiki na Upumbavu huo tafadhali.
Tatizo Mwanamsimbazi mwenzangu unaamini unajua kila kitu na upo sahihi muda wote, lakini hili ukiangalia tu muda lilipoibuka ni wazi watani wamelileta ili kufanya tamasha letu libume kama la kwao lilivyobuma, uzuri viongozi wameamua kukaa kimya kama hawasikii
 
Back
Top Bottom