Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Unayemchoka unaweza kupoteza muda wako adhimu kabisa Kumfuatilia Kutwa hapa JamiiForums?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
king wa nyoro labda
Unayemchoka unaweza kupoteza muda wako adhimu kabisa Kumfuatilia Kutwa hapa JamiiForums?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
uandishi wa uzushi upuuzi a.k.a upiro uconaukwel
 
Kama YANGA itamchukua Barbra...nazidi kuaamini kuwa focus na mind za YANGA ni za hapa hapa ..

Ktk modern football si wakati wa style hizi za kufanya mambo kwa ajili tu kufurahisha mashabiki...
Aliachwa, SENZO, MANARA , MORRISON, MKUDE wata wakabeba kishabiki....
Watu wakasubiria CHAMA,ili yafanyike tena ushabiki...
Sasa Mnasema tena Barbra.... unadhani ni jambo la kifundi au kutengeneza story...ndio maendeleo
 
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja na Majirani kuwa hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa Kitendo cha Haji Manara kwenda Yanga SC, aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuhusishwa kutaka kuhamia Yanga SC, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally nathubutu Kukiri wazi hapa JamiiForums kuwa Simba SC ni Mabingwa wa Umafia ila Yanga SC ni Mabingwa wa Ujasusi na wanaujua na kutujulia mno wana Simba SC.

Taratibu sasa naanza Kuamini Kauli ya Haji Manara (aliyekuwa Msemaji wa Simba SC) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa miaka Kumi ( 10 ) mfululizo.

Pia GENTAMYCINE sasa nimeelewa ni kwanini Uongozi wa Simba SC tokea Mwezi February mwaka huu (2023) ilipanga Kumfuta Kazi Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya Kiongozi Mmoja (namhifadhi) kusema ni Kirusi (akimaanisha ni mwana Yanga SC) ila Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji akakataa asiondolewe akiamini ni mwana Simba SC wakati tayari 75% ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC wanajua kuwa ni Kirusi na Kitatugharimu Simba SC hata kama tunajipanga na Kujidhatiti kwa Usajili mkubwa na mzuri.
Mpira siku hizi ni pesa tu, Uyanga na Usimba hata kwetu mitaani huku ushafumuliwa na betting.
 
GENTAMYCINE kuwa makini, usije kuingia kwenye propaganda ya kuharibu siku ya mnyama? Sisi wanasimba tungeungana kufanikisha Jambo letu, wasitutoe kwenye reli
 
Kama YANGA itamchukua Barbra...nazidi kuaamini kuwa focus na mind za YANGA ni za hapa hapa ..

Ktk modern football si wakati wa style hizi za kufanya mambo kwa ajili tu kufurahisha mashabiki...
Aliachwa, SENZO, MANARA , MORRISON, MKUDE wata wakabeba kishabiki....
Watu wakasubiria CHAMA,ili yafanyike tena ushabiki...
Sasa Mnasema tena Barbra.... unadhani ni jambo la kifundi au kutengeneza story...ndio maendeleo
kwanza sio mchezaji hana taathira yoyote

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Huyu popoma ni Haji manara nimeshamgundua
 
Wewe mkerewe una tabia za kimama sana! Inaonekana umelelewa ujombani! Kushinda umesimama kwenye vijiwe vya kahawa unasikiliza porojo ndio unazibeba unaleta kwenye hapa jukwaani! Hujawahi kuleta habari yeyote ya maana hapa zaidi ya porojo za wauza gahawa.

Alfajiri tu saa kumi na moja umeshafika karume sokoni kwenye vijiwe vya gahawa kusikiliza porojo, una bahati tu ulipata mke wa kikerewe unaemtesa uko kitunda, unamuibia vipesa vyake anavyolima mbogamboga ili upate hela ya kuwahi karume kupiga porojo asubuhi mpaka jioni.
Labda unamzungumzia mwingine lakini gentamycine taarifa zake zina ka ukweli na jamaa sio bias. Kubwa kuliko,he is very smart than most of the people like you here.
 
kwanza sio mchezaji hana taathira yoyote
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Haji Manara ambaye kachangia 75% kuwapa Yanga SC Siri zetu nyingi ambazo Yanga SC nao wamezitumia katika Kutuangamiza, Wao Kufanikiwa Uwanjani na Sisi Kuteseka kwa hii miaka Miwili alikuwa ni Mchezaji wa Simba SC?

Hivi kuna Mtu katika Timu yoyote ile anajua na anayajua Mambo yote ya Klabu tena kwa 100% kama CEO? Unakumbuka aliyewahi kuwa CEO Wetu Simba SC Senzo Mbatha Mazingisa alivyohamia Yanga SC na Simba SC tukaanza Kutikisika na Changamoto za Kiongozi na hata za Kimpira Uwanjani kutuanza?

Acheni kunilazimisha nianze sasa Kuwadharau kutokana na Uwezo wenu mdogo wa Fikra ( Upeo ) na wa Kujenga Hoja zenye Mantiki na Mashiko.

Na namalizia kwa Kukuambia kuwa tena kama Kweli aliyewahi kuwa CEO Wetu Bi. Barbara Gonzalez akihamia Yanga SC Kweli ( kama inavyohisiwa ) Klabu ya Simba ndiyo itaathirika pakubwa kwani nje ya Yeye kuwa tu CEO Wetu ila alikuwa ni Hawara ya Mwekezaji Wetu na anajua Siri nyingi za Klabu, Mwekezaji na hata za Michezo yetu Michafu ( Umafia wa Michezoni ) ambayo Simba SC ndiyo Baba Lao na Yanga SC nao Siku hizi wameiga.

Nimemaliza.

Cc: Arovera, Bila bila, PakiJinja etc.
 
Tatizo la Simba Ni Mo DEWJI na sio Babra wala yeyote yule
Hata huyo Mangungu aliyekuwa kiongozi wa Pan Africa amewekwa na Mo DEWJI.,

Ukiangalia jinsi babra alivyoondoka nii kama ameondoka kimizegwe.
Na hata ukiangalia post za babra za hivi karibuni utaona jinsi anavyomlenga kiongozi fulani mkubwa tena mwenye mamlaka ndani ya Simba.

Babra alikuwa mfanyakazi wa Simba na kama amepata Kazi Yanga aachwe afanye Kazi.
Yeye sio wa Kwanza wala wa mwisho kuhamia Yanga.
Senzo alihamia Yanga kutoka simba mbona hapakuwa na kelele za usaliti..

Kamanii kwl Simba wanaumia babra kuhamia Yanga basi wamrudishe kundini na sio kuzuia maisha ya babra kuendelea kwengine..

Hata issue ya Ahmed Ally,,Kuna genge la watu wa Yanga ambao bado wapo Simba ndy Hao wanataka wamtoe sababu ya kejeli kwa Yanga na kuwanyima usingizi.
Katika wasemaji waliofit nafasi ya Manara ni Ahmed Ally,
Anawakera Sana UTOPOLO.

Ahmed Ally ni pure mnyama halisi wala hawezi kuwa UTOPOLO.
 
Huyu popoma ni Haji manara nimeshamgundua
GENTAMYCINE nahusishwa na Kila Mtu tu maarufu hapa Tanzania na mlichobakiza sasa ni kunihusisha tu Rais Joe Biden wa Marekani.

Wanaonijua vyema, uhalisia wangu na hii ID hasa Mdogo wangu wa Damu kabisa na Member hapa JamiiForums aitwae steveachi, Jirani yangu Bujibuji Simba Nyamaume anayewajua hadi Ndugu ( Kaka zangu wa Kizanaki ) na Marafiki zangu Watatu walioko TISS, Wanne walioko JWTZ, Wahadhiri wangu Wawili SAUT Mwanza, Mabosi zangu Watatu wa zamani ( ndani ya Ofisi Moja ) na waliokuwa Watendaji wa Ofisi hiyo wapatao Ishirini ( 20 ) wakiona hii post yako ukisema Mimi GENTAMYCINE ni Haji Manara si tu Watakushangaa bali watakuona ni Mpumbavu mno.

Wengi wenu mnatamani sana Kunijua GENTAMYCINE ila nina uhakika mkiambiwa huyu ( yule ) ndiyo GENTAMYCINE Mfalme wa Mijadala na Masuala Mtambuka JamiiForums hamtoamini kwani ni Mtu Mmoja wa Kawaida mno na najua Kubadilika badilika kulingana na Wakati, Eneo na Watu ninaokuwa nao.

Kiufupi nimebarikiwa Vingi na Mungu.

Cc: Arovera, PakiJinja, Bila bila, adriz, Shunie, cocastic, Kaka pembe etc
 
Hawa wangese uto wanatutoa kwenye reli siku ya Simba day. Kama tulivyo wafanyia mbwa hawa kwenye siku ya Mwananchi.

Tuwe makini nao
 
Labda unamzungumzia mwingine lakini gentamycine taarifa zake zina ka ukweli na jamaa sio bias. Kubwa kuliko,he is very smart than most of the people like you here.
Asante Mkuu kwa hizi Credits zako Kwangu ila jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu na kwamba hapa nimeandika ili Kujisifia / Kujisifu na kutafuta Umaarufu.

Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.
 
Hawa wangese uto wanatutoa kwenye reli siku ya Simba day. Kama tulivyo wafanyia mbwa hawa kwenye siku ya Mwananchi.

Tuwe makini nao
Yaani GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC? You must be a Dimwit and Mentally retarded Creature.

Ila nikiwa kila Siku naisema Yanga SC hapa JamiiForums na wana Simba SC mnafurahi hamsemi Mimi ni Yanga SC lakini nikiwageukieni tu Simba SC kwa Upuuzi na Madhaifu yaliyoko mnasema Mimi si mwana Simba SC Mwenzenu.

Wanafiki wakubwa nyie.

Cc: Bila bila
 
Tatizo la Simba Ni Mo DEWJI na sio Babra wala yeyote yule
Hata huyo Mangungu aliyekuwa kiongozi wa Pan Africa amewekwa na Mo DEWJI.,

Ukiangalia jinsi babra alivyoondoka nii kama ameondoka kimizegwe.
Na hata ukiangalia post za babra za hivi karibuni utaona jinsi anavyomlenga kiongozi fulani mkubwa tena mwenye mamlaka ndani ya Simba.

Babra alikuwa mfanyakazi wa Simba na kama amepata Kazi Yanga aachwe afanye Kazi.
Yeye sio wa Kwanza wala wa mwisho kuhamia Yanga.
Senzo alihamia Yanga kutoka simba mbona hapakuwa na kelele za usaliti..

Kamanii kwl Simba wanaumia babra kuhamia Yanga basi wamrudishe kundini na sio kuzuia maisha ya babra kuendelea kwengine..

Hata issue ya Ahmed Ally,,Kuna genge la watu wa Yanga ambao bado wapo Simba ndy Hao wanataka wamtoe sababu ya kejeli kwa Yanga na kuwanyima usingizi.
Katika wasemaji waliofit nafasi ya Manara ni Ahmed Ally,
Anawakera Sana UTOPOLO.

Ahmed Ally ni pure mnyama halisi wala hawezi kuwa UTOPOLO.
Huna ulijualo usinipotezee muda Ok?
 
GENTAMYCINE nahusishwa na Kila Mtu tu maarufu hapa Tanzania na mlichobakiza sasa ni kunihusisha tu Rais Joe Biden wa Marekani.

Wanaonijua vyema, uhalisia wangu na hii ID hasa Mdogo wangu wa Damu kabisa na Member hapa JamiiForums aitwae steveachi, Jirani yangu Bujibuji Simba Nyamaume anayewajua hadi Ndugu ( Kaka zangu wa Kizanaki ) na Marafiki zangu Watatu walioko TISS, Wanne walioko JWTZ, Wahadhiri wangu Wawili SAUT Mwanza, Mabosi zangu Watatu wa zamani ( ndani ya Ofisi Moja ) na waliokuwa Watendaji wa Ofisi hiyo wapatao Ishirini ( 20 ) wakiona hii post yako ukisema Mimi GENTAMYCINE ni Haji Manara si tu Watakushangaa bali watakuona ni Mpumbavu mno.

Wengi wenu mnatamani sana Kunijua GENTAMYCINE ila nina uhakika mkiambiwa huyu ( yule ) ndiyo GENTAMYCINE Mfalme wa Mijadala na Masuala Mtambuka JamiiForums hamtoamini kwani ni Mtu Mmoja wa Kawaida mno na najua Kubadilika badilika kulingana na Wakati, Eneo na Watu ninaokuwa nao.

Kiufupi nimebarikiwa Vingi na Mungu.

Cc: Arovera, PakiJinja, Bila bila, adriz, Shunie, cocastic, Kaka pembe etc
Viko wapi mm mbona sivioni we popoma?
Au kufanya mipasho humu jukwaani pro-popoma?
 
Back
Top Bottom