Mbona melo huwa anatoa like na reply sana tu "... hanaga shida kabisa .muhimu uwe una spin fact .. mwingine ni pascall mayala. Yeye huwa anatoa likes kwakila mtu aliye changia katika uzi wake pasipo kujali kama umemjibu hovyo Au umem- support ... nadhani ni miongoni ya watu wachache walioamua kuwa wana heshimu mawazo ya watu pasipo kujali kuwa mawazo hayo ni pinzani kwao