The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mleta mada bila shaka hii ni like yako ya kwanza kuipata toka kwa maxence,kwangu mimi nimeshazowea kugonga like toka kwake,max ni mtu poa tu wala hana majivuno,anaishi na sisi humu kama vile nae ni member wa kawaida tu,big up mkuu Maxence Melo