Je kwa matokeo haya unaweza kusoma diploma?

Je kwa matokeo haya unaweza kusoma diploma?

freduu

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
124
Reaction score
40
Jamani nilikua naombeni ushauri kama una div 3 ya 17 yaani umepata bios C phy F chem F na S ya bam na g.s je unaweza kusomea diploma ya clinical officer au ualimu? naombeni msaada wa mawazo please
 
Yep diploma unapata kwa ninavyokumbuka kitu kama inahitajika principal moja
 
Diploma wanahitaji principal pass moja na subsidiary moja!hivyo, ww umetimiza vigezo! nakushauri fanya application ya vyuo vya diploma fasta.
 
Clinical officer sana wanaangalia matokeo ya O Level.

Mimi wala sikutumia cheti cha advance. Je,matokeo yako ya kidato cha nne yalikuwaje?
 
clinical officer sana wanaangalia matokeo ya o level.mimi wala sikutumia cheti cha advance.je,matokeo yako ya kidato cha nne yalikuwaje?

matokeo ya form four nilikua nina div 2 ya point 18
 
usikate tamaa jaribu kuomba hiyo ya clinical bcoz hata cha o level kinamata, kwenye ualimu kuna tatizo moja wanatka principle moja na subsidiary lakini kwenye masomo ya kufundishia kama cjakosea.
 
usikate tamaa jaribu kuomba hiyo ya clinical bcoz hata cha o level kinamata,kwenye ualimu kuna tatizo moja wanatka principle moja na subsidiary lakini kwenye masomo ya kufundishia kama cjakosea

upo sahihi kabisa kwenye ualimu hatakua na sifa kwani ana principal pass moja na hana subsidiary ya somo la kufundishia...BAM , GS NA ECONOMICS kwa qualifications za ualimu hazipo ktk sifa.
 
Back
Top Bottom