steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Umeanza kuujua mpira lini?Ur mistaken...Simba ndo aliyekandwa 5..0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kuujua mpira lini?Ur mistaken...Simba ndo aliyekandwa 5..0
Kwani itakuwa mara ya kwanza?Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]View attachment 2968000
Mpira ni uwanjani siyo mdomoniEti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]View attachment 2968000
Nipo kwa mkopo mpaka hii derby itakapopita hiyo kesho. Maana mashabiki wao wameikimbia timu yao.Siku hizi umehamia Kwa Makolo?
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣....Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]View attachment 2968000
Mbona vitu vingi huvijui sasa mkuu?Nahisi kabla hujazaliwa
Kwa mvua hii simba anashinda tatu bilaEti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]View attachment 2968000
Hamna masta huo ndiyo uhalisia wenyewe huwezi kuumkimbia.Mbona kama unasikitika mkuu [emoji23]
Na kwa mfano hizo Tano akafungwa Yanga mtafanyaje?Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]View attachment 2968000