Je, kwa mfano kesho Simba mtafungwa 5 na Yanga mtafanyaje?

Sijui uliisikia kauli ya mwana yanga mwenzio haji manala aliyoitoa jana kuwaasa wachezaji pamoja na nyinyi mashabiki au hukuipata mkuu,
 
Sijui uliisikia kauli ya mwana yanga mwenzio haji manala aliyoitoa jana kuwaasa wachezaji pamoja na nyinyi mashabiki au hukuipata mkuu,
Alisema Simba hawatachukua ubingwa for 10 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…