Je, kwa mfano kesho Simba mtafungwa 5 na Yanga mtafanyaje?

Kashikilie bango vyura wakishinda watakulipa waweke tangazo.
 
Wanatoa tenda za matangazo ya mabango kutangaza ushindi dhidi ya Simba wakishinda. Hawajakuambia na upo nao kila siku dimbwini?
Kwamba huamini kama Simba itashinda??
 
Kauli ya jana kiongozi
Aliwashauli washabiki na wachezaji kuwa mechi ya kesho ni ya wakubwa wawili ndani ya NBC na kwa kawaida mechi hiyo huwa haiamuliwi kwa kutazama mchezaji mmoja mmoja
 
Biashara ni risk. Chukua bango lolote linaweza kutokea ukapiga hela, ukipoteza basi ajali kazini. Lipia bango chap udalalie mablich wakiyataka.
[emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…