Je, kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini

Je, kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini

Joined
Apr 19, 2018
Posts
22
Reaction score
9
Je kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini kwetu TANZANIA. Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k
1). linakuwa
2). linaporomoka

Je unadhani ni kwanini?
 
Back
Top Bottom