Martin Stephen Mwinuka
Member
- Apr 19, 2018
- 22
- 9
Je kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini kwetu TANZANIA. Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k
1). linakuwa
2). linaporomoka
Je unadhani ni kwanini?
1). linakuwa
2). linaporomoka
Je unadhani ni kwanini?