Martin Stephen Mwinuka
Member
- Apr 19, 2018
- 22
- 9
Bila ya kuzitaja hizo biashara, sredi yako ni legelege mkuu...Sorry Joseverest...Je kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini kwetu TANZANIA...
1). linakuwa
2). linaporomoka
Je unadhani ni kwanini?
Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama ya wakina kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k bossBila ya kuzitaja hizo biashara, sredi yako ni legelege mkuu...Sorry Joseverest...
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Binafsi sijui cho chote kuhusu haya mambo. Ngoja wataalamu waje.Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama ya wakina kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k boss
Ondoa shaka mkuuAsante kwa ufafanuzi mkuu. Binafsi sijui cho chote kuhusu haya mambo. Ngoja wataalamu waje.
So grounds za kufanyia ama kuanzisha biashara hapa tanzania zina shawishi hii aina ya biashara kukubalika katika jamii??Nilifanya research ya e-commerce mwaka na inaonekana kukua.
ondoa shaka bossBila ya kuzitaja hizo biashara, sredi yako ni legelege mkuu...Sorry Joseverest...
Tusaidiane pale inapoonekana kasoro bossThread imekosa minofu mkuu,