Sultani kambe
Member
- Apr 26, 2012
- 63
- 4
well said mkuu niwe honest unaweza kuwa enroll ila lazima uwe na background nzuri ya MATHS kwa kweli BILA MATHS utapata shida sana ANGALIA IFM NA RUCO(RUAHA) tizama criteria zao ...Waliosoma EGM, ikiwa wamafaulu Mathematics, kuna baadhi ya vyuo vinawaruhusu.