Je? Kwa mtu wa arts unaweza ukasoma COMPUTER SCIENCE bila kugusia mambo ya mkopo

Je? Kwa mtu wa arts unaweza ukasoma COMPUTER SCIENCE bila kugusia mambo ya mkopo

Sultani kambe

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
63
Reaction score
4
Kwa wale ambao ni magreate thinker waukweli ningependa kama kuna mtu mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe bila ku-consider issue ya mkopo.
 
Waliosoma EGM, ikiwa wamafaulu Mathematics, kuna baadhi ya vyuo vinawaruhusu.
well said mkuu niwe honest unaweza kuwa enroll ila lazima uwe na background nzuri ya MATHS kwa kweli BILA MATHS utapata shida sana ANGALIA IFM NA RUCO(RUAHA) tizama criteria zao ...
 
kaka inawezekana mi nimesoma hkl, nipo st.joseph nasoma dgr ya computer science nipo mwaka watatu sasa, ila nilipojiunga nilisoma koz ya miez mi3 masomo ya physics, math, chemistry, then nkifanya mtihani wa kujiunga na main koz, huo mtihan ukifaulu ndio tcket yako yakukufanya usome hyo koz, nilipata tabu kidogo first year ila hakuna kitu kgumu ukiamua sasa hv mambo yako poa na naelekea mwaka wa4 sasa.
 
Kiuhalisia huwa ni ngumu sana kupata computer science kama una arts, na hata ukipata, trust me kuwa shule itakukimbiza maana hesabu kwenye computer science ni nyingi tu na zinaendelea kuwa ngumu kadri unavyoingia mwaka mwingine.... wa EGM huwa wanachukuliwa ila kwa vyuo kama UDSM nayo ni ngumu kidogo, huwa wanatazama zaidi Physics na mathematics
 
kama unataka bora degree unaweza soma kama alivyo kueleza mnyazo ila kwenye soko la ajira andika maumivu, utakapofanya application kutafuta kazi vyeti vyako vitakuwa havina uhusiano yaani H..... to comp sc. watajua umechakachua hiyo degree yako, bora ukatafuta kitu kingine cha kufanya ili usipoteze muda wako bure.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom