Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel walifanikiwa kufika nchi ya ahadi?

Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel walifanikiwa kufika nchi ya ahadi?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nitoe pole kwa wote mlioathirika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini

Naomba kujua Kwa lengo la kupata Elim.u.

Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel wakitokea utumwani Misri walifanikiwa kufika nchi ya ahadi yaani Kanani?

Na kama walifanikiwa kufika huko je ni nchi hiyo kwa Jiografia ya Iko wapi hasa?

Na kama hawakufika nchi ya ahadi je waliishi wapi siku hizo?

Aksanteni sana na mbarikiwe

Lugha zisizo na staha hazikubaliki
 
wewe hayo maandiko ya wana Israeli kutoka utumwani Misri kwenda Kanani umeyatoa wapi?
tuwekee hayo maandiko ulipoyatoa ili nao wasomaji wa quran walete ushahidi wao
 
Kwani uliambiwa Mungu ni mmoja? Wana wa Israel kutoka Misri kwenda Kanani hiyo ni Imani nyingine
Imani hii nyingine inaenda kuozesha wanaume wanawake wazuri wenye macho kama vikombe
Ndio maana wanaanza kufanya mazoezi ya ngono huku Duniani kwa kuoa wanawake wengi

Walitokoa baadhi ya maneno ya kwenye Bibilia wakaingiza kwenye kurani Lengo Ilikuwa ni kuwarubini watu wa Imani nyingine waifwate Imani yao.
Hii safari ya Misri kwenda Kanani kwao hawakuitaka Kwa vile wao ni wa mwilini
Wanaenda Honeymoon
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nitoe pole kwa wote mlioathirika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini

Naomba kujua Kwa lengo la kupata Elim.u.

Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel wakitokea utumwani Misri walifanikiwa kufika nchi ya ahadi yaani Kanani?

Na kama walifanikiwa kufika huko je ni nchi hiyo kwa Jiografia ya Iko wapi hasa?

Na kama hawakufika nchi ya ahadi je waliishi wapi siku hizo?

Aksanteni sana na mbarikiwe

Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Ngoja wenye mizuka ya kidini waje wakutukane
 
Back
Top Bottom