Je kwa nini zinaa iwe changamoto kwa wanaume tu??

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Nimekuwa nikitafakari juu ya jambo hilo. Nimejaribu kusoma Biblia n.k na kugundua hali hii ilikuwa tangu zamani. Mfano, tabia chafu ya wanaume kulipia tendo la ndoa kwa machangudoa ilikuwa tangu Agano la Kale.
Hata katika Amri za Mungu ikumbukwe kuna "Usitamani mwanamke asiye mke wako". Kwa ufafanuzi, Yesu alisema hata kumtamani mwanamke kwa hisia za ngono ni kuzini.
Changamoto hii imewaangusha watu wengi, kuanzia wafalme na hata watu wa kawaida kabisa. Zinaa inayofanywa na wanaume imepelekea kuyumba kwa maisha ya familia nyingi.
Tafakakari yangu haijapata jibu; bado sijajua: 1. Ni sababu za kibailojia (homoni); au
2. Ni laana kutoka kwa Mungu; kama ni laana, je ni tangu lini? Alipata nani?, na Na kwanini?
Binafsi, napata mkanganyiko ninapoona wanaume, hata watoto wanaobalehe, kuingiwa na tamaa ya kupindukia kimapnzi kwa wanawake. Hata inafika mahali mwanume anakuwa tayari, tena kwa mbwembwe nyingi, kulipia gharama za huduma ya ngono kwa changudoa. Kwa nini hali hiyo isiwe kwa wanawake?

Naamini, wanaume tukujua chanzo cha huu mzimu, tutaweza kuushinda.
Wataalamu tunaomba ufafanuzi wenu.
 
Mkuu hilo swala ni maumbile tu
hebu piga picha kama wanaume tungekuwa na ashki za mbali kama ilivyo kwa wanawake ambao ni mpaka umtomase na kumshikashika ndo apandishe midadi
je unadhani kwa hali hiyo ni changamoto zipi zingekuwepo endapo mwanaume haupo tayali kufanya nae mapenzi(hapa namaanisha dushelele inakuwa imelala pooo..!) na mwanamke midadi ndo imempanda je ataweza kuishika dushelele na kuiingiza kwenye nyapu yake ?
Je ufanisi wa injaculation utakuwepo?
Bila shaka kwa sifa tuzojaaliwa wanaume kwa tamaa ya macho tu ndio maana tunakuwa wakwanza kuchangamkia yote yatokanayo na tendo hilo ikiwa ni pamoja na kugharamia ngono

ni hayo tu
 
Mmmmmmh hyo kali sasa,ujue nimesha gundua kwenye hizi maada zinazo husu maswala ya dini wachangiaji huwa adimu sana.lakin ukiandika vitu tofauti na hili utapata wachangiaji hata elfu tatu.lkn kwa hili mmmmmmmh!!!!hapo ndo ujue shetani kateka ulimwengu
 
Mkuu ikiwa umesoma animal physiology and vertebrate anatomy utagundua kuwa wanyama karibu wanaendana endana isipokuwa binadamu ndio kawa na brain/body ratio kubwa.

Ukiachilia mbali huu ustarabu wa dini, kuogopa ukimwi na mimba..all men are POLYGAMISTS BY NATURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…