Nimekuwa nikitafakari juu ya jambo hilo. Nimejaribu kusoma Biblia n.k na kugundua hali hii ilikuwa tangu zamani. Mfano, tabia chafu ya wanaume kulipia tendo la ndoa kwa machangudoa ilikuwa tangu Agano la Kale.
Hata katika Amri za Mungu ikumbukwe kuna "Usitamani mwanamke asiye mke wako". Kwa ufafanuzi, Yesu alisema hata kumtamani mwanamke kwa hisia za ngono ni kuzini.
Changamoto hii imewaangusha watu wengi, kuanzia wafalme na hata watu wa kawaida kabisa. Zinaa inayofanywa na wanaume imepelekea kuyumba kwa maisha ya familia nyingi.
Tafakakari yangu haijapata jibu; bado sijajua: 1. Ni sababu za kibailojia (homoni); au
2. Ni laana kutoka kwa Mungu; kama ni laana, je ni tangu lini? Alipata nani?, na Na kwanini?
Binafsi, napata mkanganyiko ninapoona wanaume, hata watoto wanaobalehe, kuingiwa na tamaa ya kupindukia kimapnzi kwa wanawake. Hata inafika mahali mwanume anakuwa tayari, tena kwa mbwembwe nyingi, kulipia gharama za huduma ya ngono kwa changudoa. Kwa nini hali hiyo isiwe kwa wanawake?
Naamini, wanaume tukujua chanzo cha huu mzimu, tutaweza kuushinda.
Wataalamu tunaomba ufafanuzi wenu.