Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

Hili suala nilishatolea ufafanuzi ila watu wamekuwa wabishi sana. Labda wakiambiwa Starlink inaeneza ushoga ndo wataelewa.
Kilaza mkubwa wewe ,unajua hata Starlink ni nini ?
Ungejua hata msimamo wa huyo Elon Musk kwenye issues za LGBTQ na kupinga hegemony ya US government ikoje usingeandika huu uharo wako ulioandika hapa
Nashangaa eti mpumbavu mmoja mwenye elimu ya MEMKWA anaandika "Elon anataka raslimali na madini "
Hivi ninyi wapumbavu mna akili au usaha kwenye hayo mafuvu yenu ?
Bloody fool
 
Foolish bureaucracy ni Cancer ya nchi za kiafrika , nchi zinazoongozwa na wapumbavu ,wabinafsi na wasio na maono .
Majitu yanafanya maamuzi kujineemesha tu (self interests ) bila kuangalia maslahi ya wananchi .
Mediocracy inaongoza hizi nchi


Eti jitu kama Nape Ndio anapewa dhamana ya kuoversee decisions kama hizi
Pricks
 
Acha kulilia watu hapa JF. Hakuna babako hapa.
 
Matajiri wakubwa wa Marekani, China na USSR,...hutumika kama mikono ya nchi zao,.......
 
Mkuu sasa ofisi za X zifunguliwe zina faida gani katika taifa, au wewe ni mmoja ya wanahisa katika mitandao ya simu. Hutaki wananchi wapate unafuu wa huduma za intaneti
 
Mkuu sasa ofisi za X zifunguliwe zina faida gani katika taifa, au wewe ni mmoja ya wanahisa katika mitandao ya simu. Hutaki wananchi wapate unafuu wa huduma za intaneti
Hicho nataka. Ila sijajua sababu ya kuzuiwa. Isije ikawa kulindq mqkampuni ambayo hayako tqyari kushushq vifurushi huku wanajipatia faida kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…