Je, Kwa Tanzania Kuna Uwepo Angel Investors au Venture Capitalists ?

Je, Kwa Tanzania Kuna Uwepo Angel Investors au Venture Capitalists ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Naona Tanzania Hali Tete !!

Watanzania Milioni 50 Itabidi Tutulie Kimya Kama Tupo Kwenye Freezer Ili Magufuli Mwenyewe Ajenge Nchi !!

Vijana Wamekuwa Wabunifu, Wana Idea Nyingi Na Nzuri Lakini Funding Imekuwa Shiida !

Wengine Kila Leo Mawazo Yako Yanaibiwa Na Hawana Cha Kufanya.

Je, Kwa Tanzania Hakuna Watu Wenye Fedha Wanaowekeza Kwenye Mawazo Ya Watu In Exchange For Some Hisa Ownership ?

Kwa Nchi Nyingi Hili Ni Jambo La Kawaida Tu, Hapa Kwetu Hali Ikoje ?
 
[emoji23] [emoji23] ogopa sana civilians wakikususia uzi.
Hawajasusa.
Ila Haya Ni Mambo Mapya Sana Na Wanaojua Ni Wachache Sana.
Ushawahi Kuona Uzi Kama " Demu Mpya Wa Diamond au Namna Rahisi Ya Kumfikisha Mwanamke Kileleni" Umesuswa ?
 
Nenda Techcrunch na website mbalimbali za investors uwatafute.

Wapo ila wachache sana.
 
Hakuna mkuu
Pambana tu kwa hali na mali ukiwashikirisha watu wako wakaribu na wewe mwenyewe ukijibidiisha kuanzia hata kama ni chini sana lakini ndio njia pekee reliable.
Hizo incubators kuanzia dtbi, buni, udiec, sido, fsdt, ceed na takataka zote unazozijua ni upuuzi tu.
Watu wako kwa maslahi yao tu

Wachache sana wenye dhamira ya dhati kuna jamaa anaitwa jumanne mtambalike yule kama una idea nzuri na unahisi unahitaji assist mcheki kidogo naona yupo seriaz
 
Back
Top Bottom