Je, kwa ufaulu huu naweza soma kozi ya ufamasia MUHAS?

Ethan hunt

Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
20
Reaction score
8
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
 
[QUOTE="Jiwe kuu001, C nne na D nne kwa ufaulu huo nina division three ya 24 basi nisaidie vigezo vyake nitashukuru
 
Uko na F ya physics unataka kozi za afya tena MUHAS pole sana hiyo itabaki kua ndoto...ama reset uondoe hiyo F.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo F imechana mkeka
 
Hata usingekuwa na F ila chemistry pia ingekuwa tatizo
 
Physics - F

Inshort haiwezekani.
 
Siku hizi hata kama utapata A ya chem B ya Biology ukisha pata F ya Physics mchezo umeisha mzee wangu
 

Vipo vyuo vingi private. Jaribu huko. Mwisho wa siku kinachogomba ni ujuzi si wapi ulisoma.
 
Tupe mrejesho ndugu
 
Wewe ni wa Tumaini university tu,,,MUHAS ni kwa magenius tu
 
MUHAS hawatoi certifice ya Pharmacy.
Tena kwa Diploma wanachukua Form 6 kama Udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…