We angalia bungeni wanaotetea bangi iruhusiwe ni akina nani utapata jibu.
Halafu kumbuka na ile kauli ya Jiwe kumruhusu Waziri wake avute bangi kwa kujificha ila awe mkali.
Halafu kumbuka na ishu ya 'Kitwanga'.
Ndio utajua wanaotumia madawa ya kulevya na pombe Kali wako wapi.
Ni kweli kabisaNdugu mbona kwa Maelezo yako haya ambayo ni kweli yametokea na kuyashuhudia inaonyesha anakotoka Spika ndiko kuna hao Watajwa wengi?