Je, kwa Yanga hii una lipi la kuishauri Simba kuelekea derby?

Je, kwa Yanga hii una lipi la kuishauri Simba kuelekea derby?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu Jana nimelia sana hii Yanga inatisha yaani inamchapa mtu 6 bila goal la penalty

Mimi kama mchambuzi m,bobevu wa soka hapa TZ ufuatao ni ushauri wangu Kwa Simba kuelekea derby

1. Wachezaji wa Simba waongeze kufanya mazoezi ya spidi Ili kuwazuia kina pacome..... Aziz ki......mzize ......coz hawa watu ni upepo

2. Wachezaji wa Simba wafungiwe mahali waangalie mechi za Yanga Kwa wiki nzima ....Ili waelewe mfumo wa GUSA ACHIA TWENDE KWAO. Ingawa watafungwa ila itapunguza idadi ya magoli

3. Wachezaji wa Simba wafanye maombi sana Ili mzize ..... Aziz ki ...... pacome wasicheze ....bila hivyo 5 G itasoma Kwa makolo

Zingatia: huu ni ushauri jinsi Simba wataweza kupunguza idadi ya magoli ......since makolo kukandwa kupo pale pale

Je, unawashauri Nini Simba juu ya Yanga hii... kuelekea derby
 
Kwa kweli Kwa Yanga hii Simba wajue tu kuwa kufungwa ni pie (π) ( lazima
Screenshot_20250205-200016.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom