Je, kwa Yanga hii una lipi la kuishauri Simba kuelekea derby?

Je, kwa Yanga hii una lipi la kuishauri Simba kuelekea derby?

Awamu hii Yanga atafungwa 4-0 na Simba
Ngoja tuone Yanga mkitaka muifunge Simba nawapa siri mpunguze midomo km kile kipindi Simba alipigwa 5 sababu Yanga waliingia kwa tahadhari hawakua na midomo mingi mimi gemu niliishuhudia na ikawa hivyo na kesho yake mji ulitulia sana ila sasa hii ya mdomo mdomo mtakula goli nyingi mpaka mpagawe
 
Haya sisi tunajenga timu, ila mdomo umewaangusha sana msimu huu bado mna uamini useme hovyo bila akiba ya kuanzia tar 9 march
 
Back
Top Bottom