Kwa hizi akili mtanyang'anyana sana mabwana ninyi na dada zenuWakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR???
Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na Kwa pamoja na kama Zina connection fulan ...coz uwezo wa Mr kajula ulikuwa tia maji tia maji .....haiwezekani CEO anajisifia kuanzisha channel ni mafanikio ya club [emoji32][emoji32]
Maon yangu
Naona kaona ....Kwa ujio wa VAR hii hapa sitoboi Bora nichimbe mapema
NB Je Kuna connection yeyote ya CEO kujiuzuru na ujio wa VAR??View attachment 3043700
JF ya 2010 imepotea kabisa. Wakati ule watu wanashusha nondo kweli kweli. Nakumbuka Gavana wa Benki Kuu ndg. Daudi Balali alivyopotea mafichoni, JF ilikuwa na members wakifanya tracking yake na kutoa updates ya locations humu humu kila mahali anaposomeka. Ujinga wa Simba na Yanga ulivyowaingia watoto, kile kizazi kikaondoka humu, na tumebaki wachache sanaJe Kwanini CEO wa Simba ajiuzulu Baada ya ujio wa V.A.R
Saizi kwenye vijana 10, 9 ni wapumbavu. Thinking capacity ni ndogo kupitiliza.JF ya 2010 imepotea kabisa. Wakati ule watu wanashusha nondo kweli kweli. Nakumbuka Gavana wa Benki Kuu ndg. Daudi Balali alivyopotea mafichoni, JF ilikuwa na members wakifanya tracking yake na kutoa updates ya locations humu humu kila mahali anaposomeka. Ujinga wa Simba na Yanga ulivyowaingia watoto, kile kizazi kikaondoka humu, na tumebaki wachache sana
Highest level ya upuuzi ni hiiWakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR???
Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na Kwa pamoja na kama Zina connection fulan ...coz uwezo wa Mr kajula ulikuwa tia maji tia maji .....haiwezekani CEO anajisifia kuanzisha channel ni mafanikio ya club [emoji32][emoji32]
Maon yangu
Naona kaona ....Kwa ujio wa VAR hii hapa sitoboi Bora nichimbe mapema
NB Je Kuna connection yeyote ya CEO kujiuzuru na ujio wa VAR??View attachment 3043700
Sasa wewe unatafuta nini humu kama Jf ya siku hiz ni mbaya!! Si ungekufa nayo tu mkuu, why black people are so much interested to dwell in past??? U guys are sooo obsessed with previous rather now??? Inakusaidia nini kukumbatia kitu that u cant change or controll??JF ya 2010 imepotea kabisa. Wakati ule watu wanashusha nondo kweli kweli. Nakumbuka Gavana wa Benki Kuu ndg. Daudi Balali alivyopotea mafichoni, JF ilikuwa na members wakifanya tracking yake na kutoa updates ya locations humu humu kila mahali anaposomeka. Ujinga wa Simba na Yanga ulivyowaingia watoto, kile kizazi kikaondoka humu, na tumebaki wachache sana
Personally i hate judging people if i cant do anything to help them..Saizi kwenye vijana 10, 9 ni wapumbavu. Thinking capacity ni ndogo kupitiliza.
Mbele daimaNyuma Mwiko
π π
Na lile likikosi la caf ....Yanga wawe wanahonga?Anastahili kujiuzulu hata kabla ya mkataba wake kuisha,hakuleta mafanikio yoyote tangu aingie,haihusiani na VAR, inajulikana timu inayotembesha bahasha ligi kuu na magoli ya chupri chupri kuwa ni Yanga,kazi mnayo.
Daaah hapana mkuuUnadharirisha JF! Huu upuuzi, haushangazwi ukiandikwa na huyo Oscar, au kule FB.
Na nina uhakika kwa % 100 kuwa, hata wewe unajua kuwa kuondoka kwake, hakuna uhusiano hata kidogo na hizo VAR. Lakini kwa vile wewe kila kukicha, unaokoteza lolote la KUIKEJERI Simba, basi takataka zote unazileta hapa JF. UNAIDHARIRISHA JF!
Kwa maana hyo walikuwa wanaingilia kaz ya policeJF ya 2010 imepotea kabisa. Wakati ule watu wanashusha nondo kweli kweli. Nakumbuka Gavana wa Benki Kuu ndg. Daudi Balali alivyopotea mafichoni, JF ilikuwa na members wakifanya tracking yake na kutoa updates ya locations humu humu kila mahali anaposomeka. Ujinga wa Simba na Yanga ulivyowaingia watoto, kile kizazi kikaondoka humu, na tumebaki wachache sana