Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR???
Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na Kwa pamoja na kama Zina connection fulan ...coz uwezo wa Mr kajula ulikuwa tia maji tia maji .....haiwezekani CEO anajisifia kuanzisha channel ni mafanikio ya club [emoji32][emoji32]
Maon yangu
Naona kaona ....Kwa ujio wa VAR hii hapa sitoboi Bora nichimbe mapema
NB Je Kuna connection yeyote ya CEO kujiuzuru na ujio wa VAR??