Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ni kawaida kukuta mtu anatembeza vinywaji mtaani na ata stendi au
Mwingine anauza vinywaji kama soda na Energy zikiwa zimerundikwa nje tena juani
Lakini ukisoma maelekezo kwenye zile bidhaa utakuta zimeandikwa store in a cool & dry place au
Keep away from direct sunlight
Je kwa kupuuza maelekezo hayo haiwezi kuathiri afya ya mtumiaji?
Je mamlaka zinazotoa lesen za biashara zinazohusu vinywaji huwa hawawaelekezi wafanya biashara juu ya
Kanuni ya kiusalama wanazotakiwa kuzingatia katika biashara husika?