Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.Huyu jamaa sijui aliwakosea nini wabongo, mnamchukia kupitiliza na bila sababu.
Mtu anaandika MO anajitokeza timu ikishinda tu.Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.
Jamaa kila siku ndiyo mbunifu wa uzushi na maneno mabaya dhidi ya Mo. na jamaa kwa kuwa wanadhani vita ni yao, basi hushiriki kupambana bila ya kujua jamaa anatengeneza daraja la kupiga hela kupitia kwao.
Huwa hawaeleweki wanataka nini??Mtu anaandika MO anajitokeza timu ikishinda tu.
Na ni mtu huyohuyo anaandika Simba ikifungwa MO anataka kususa.
Na mtu yoyote anayemtumia manara kama ndio muongozo wake basi ana matatizo kadhaa.
Nan huyo mkuuSiyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.
Jamaa kila siku ndiyo mbunifu wa uzushi na maneno mabaya dhidi ya Mo. na jamaa kwa kuwa wanadhani vita ni yao, basi hushiriki kupambana bila ya kujua jamaa anatengeneza daraja la kupiga hela kupitia kwao.
Manara ana husikaje kwenye mambo ya koloMtu anaandika MO anajitokeza timu ikishinda tu.
Na ni mtu huyohuyo anaandika Simba ikifungwa MO anataka kususa.
Na mtu yoyote anayemtumia manara kama ndio muongozo wake basi ana matatizo kadhaa.
Wivu unawasumbuaHuyu jamaa sijui aliwakosea nini wabongo, mnamchukia kupitiliza na bila sababu.
Hata wewe hupiga picha siku umependeza,hakuna jipya hapo.Jana tajiri mudi amepost akiisifia kolo FC Baada ya ushindi wa kishindo
Swali ni Je, Kwanini TIMU IKISHINDA ANAONEKANA IKIPIGWA MZIGO UNAKUWA WA MANGUNGU [emoji119]View attachment 2861612
Kwasababu huonekana tu pale timu inaposhindaJana tajiri mudi amepost akiisifia kolo FC Baada ya ushindi wa kishindo
Swali ni Je, Kwanini TIMU IKISHINDA ANAONEKANA IKIPIGWA MZIGO UNAKUWA WA MANGUNGU [emoji119]View attachment 2861612
Lijamaa flani hv kama sio mwanaume kabisa yanaani hajiamini kabisa!!!Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.