Je, kwanini MO huonekana tu pale timu ikishinda?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Jana tajiri mudi amepost akiisifia kolo FC Baada ya ushindi wa kishindo

Swali ni Je, Kwanini TIMU IKISHINDA ANAONEKANA IKIPIGWA MZIGO UNAKUWA WA MANGUNGU [emoji119]
1704358934074.jpg
 
Huyu jamaa sijui aliwakosea nini wabongo, mnamchukia kupitiliza na bila sababu.
Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.

Jamaa kila siku ndiyo mbunifu wa uzushi na maneno mabaya dhidi ya Mo. na jamaa kwa kuwa wanadhani vita ni yao, basi hushiriki kupambana bila ya kujua jamaa anatengeneza daraja la kupiga hela kupitia kwao.
 
Mtu anaandika MO anajitokeza timu ikishinda tu.
Na ni mtu huyohuyo anaandika Simba ikifungwa MO anataka kususa.

Na mtu yoyote anayemtumia manara kama ndio muongozo wake basi ana matatizo kadhaa.
 
Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.

Jamaa kila siku ndiyo mbunifu wa uzushi na maneno mabaya dhidi ya Mo. na jamaa kwa kuwa wanadhani vita ni yao, basi hushiriki kupambana bila ya kujua jamaa anatengeneza daraja la kupiga hela kupitia kwao.
Nan huyo mkuu
 
Gongowazi achana na tajiri hata ukeshe umeandika magezeti 100 humtikisi...halafu hayakuhusu hii timu itakuua walai...ukilala unaiota...
 
Tajiri ya mchongo [emoji23]
 
Mpira kuujua uzeeni kazi sana. Mara ngapi humu utopolo mmeleta nyuzi za kumchamba Mo kuisusa timu ikifanya vibaya.? Huo ushabiki wako ni ushabiki maandazi
 
Siyo wabongo. kuna mtu alipogundua kuna timu mashabiki zake unaweza kuwahusisha na ugomvi usio wako na wakashiriki akaenda huko.

Jamaa kila siku ndiyo mbunifu wa uzushi na maneno mabaya dhidi ya Mo. na jamaa kwa kuwa wanadhani vita ni yao, basi hushiriki kupambana bila ya kujua jamaa anatengeneza daraja la kupiga hela kupitia kwao.
Lijamaa flani hv kama sio mwanaume kabisa yanaani hajiamini kabisa!!!
 
Back
Top Bottom