Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?

Mwenye Ufahamu atujuze
 
Jibu ni rahisi tu,Tanzania ni ya pamoja wazanzibari na watanganyika,lakini zanzibar ni ya wazanzibari tu,siku Ikifika watanganyika wakaamka na kuweka serikali tatu mzanzibari hatoweza kuwa raisi au kiongozi juu ya watanganyika
 
Ni usanii tu unaendelea
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
 
WAZANZIBARI WANA ROHO MBAYA SANA HALAFU NI WABINAFSI.
SUBIRI UONE PICHA HALISI KUTOKA KWA HUYU MAMA.
 
Karume, Jumbe, Mwinyi's hao wote ni Wakaazi tu!

Nani kakwambia kama Mtanganyika hawezi kugombea? Hii ni nchi moja ya JMT!
 
Karume, Jumbe, Mwinyi's hao wote ni Wakaazi tu!

Nani kakwambia kama Mtanganyika hawezi kugombea? Hii ni nchi moja ya JMT!
Naomba mwenye kuelewa neno HIZBU anielimishe nipate kujua maana yke
 
Hizbu ni neno la kiarabu lenye maana ya chama.

sasa sijui hio Hizbu yako umekusudia nini, au kwa kua umekua ukilisikia sana hilo neno kuhusu Zanzibar?
Wahezbollah huitwa hizbu mkuu....huenda ni synonyms
 
Back
Top Bottom