Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

Waulize wao walioko hai. Kwa Jumbe iko wazi kazaliwa JUBA kna South Sudan.
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Mbona Rais wa pili - Mwinyi ni mtu wa Mkuranga, Rais wa tatu - Jumbe ni wa Kigamboni na huyu wa nane naye ni kutoka Mkuranga. Hebu yaseme haya. Hakuna uraia wa Zanzibar ila kuna uraia wa Tanzania. Mama yupo mpaka muhula wake uishe na mwingine japo kwa ngekewa anaweza kuwepo kwani ni haki yao kwa mujibu wa katiba na hili halikwepeki kwani Mungu ni MKUBWA upende usipende. Mkuu tutabanana hapahapa.
 
Mfano simple tu baba yako amemuoa mama yako ila wewe huwezi kumuoa mama ya baba yako
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Zanzibar ni Tanzania,ukiwa Mtanzania(wazanzibsr ni watanzania),una haki ya kugombea Uraisi wa TZ.lakini Tanganyika sio Zanzibar.
Tungekuwa na serikali ya Tanganyika,hapo mzenj asingetia maguu,
 
Mbona Rais wa pili - Mwinyi ni mtu wa Mkuranga, Rais wa tatu - Jumbe ni wa Kigamboni na huyu wa nane naye ni kutoka Mkuranga. Hebu yaseme haya. Hakuna uraia wa Zanzibar ila kuna uraia wa Tanzania. Mama yupo mpaka muhula wake uishe na mwingine japo kwa ngekewa anaweza kuwepo kwani ni haki yao kwa mujibu wa katiba na hili halikwepeki kwani Mungu ni MKUBWA upende usipende. Mkuu tutabanana hapahapa.
Wazazi wa Mzee mwinyi walihamia Zanzibar wakachukua ukazi wa Zanzibar wakawa wazanzibar
 
Wazazi wa Mzee mwinyi walihamia Zanzibar wakachukua ukazi wa Zanzibar wakawa wazanzibar
Wazanzibari wote ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uraia ya 1995 na wanahaki sawa kama Watanzania wengine. Hivi vijineno havifai. Watu wanaelewa kila kitu. Wakati mwingine tuwe wastaarabu.
 
ueleo wa Muungano ni mdogo sana kwa wa Tz wengi. Muungano wetu ni wa muundo wa serekali mbili, SMT na SMZ.

Kila mzanzibar ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibar.

sijui kwa nini watanganyika wamekua wakijimilikisha Tanzania. Mzanzibar kuwa na cheo cha kiutawala kwenye serekali ya SMT haimaanishi kuwa ana nafasi ya uongozi Tanganyika bali ni TANZANIA ambao yeye mwenyewe pia ni Mtanzania.

Tanganyika ilishakufa toka 1964.
 
WAZANZIBARI WANA ROHO MBAYA SANA HALAFU NI WABINAFSI.
SUBIRI UONE PICHA HALISI KUTOKA KWA HUYU MAMA.
Naona tofauti;
Watu wa pwani wana utu na siyo wabinafsi kuliko wale wa bara.
Ukatili, wizi, uuaji na matendo mengine mabaya dhidi ya raia wenzao huasisiwa na viongozi wasiokuwa na busara kutoka bara.
Pwani kuna ustaarabu unaoambatana na uvivu wakati bara kuna unyama/ukatili unaoambatana na uchapakazi.
Kunatakiwa uboreshaji pande zote.
 
Ukifanya kazi Unguja ndio utajua Tanzania sio moja. Ubaguzi unaanzia kwenye boat wakati wa kwenda.
 
We unazungumzia kugombea Urais, kama umetokea bara hata kuendesha gari Zanzibar lazima uwe na kibali maalumu
 
Hizbu ni neno la kiarabu lenye maana ya chama.

sasa sijui hio Hizbu yako umekusudia nini, au kwa kua umekua ukilisikia sana hilo neno kuhusu Zanzibar?
Nakumbuka bango flani lilikuwa likitembezwa lenye maandishi ya Machotara Hizbu, Zanzibar ni Nchi ya Waafrika
 
Nakumbuka bango flani lilikuwa likitembezwa lenye maandishi ya Machotara Hizbu, Zanzibar ni Nchi ya Waafrika

hao walikusudia kupiga kukipiga kijembe cha cha siasa cha zamani huko Zanzibar ambacho kulikuepo wakati wa kupigania uhuru. Ni wapuuzi wanaendelea kuishi kwa kutegemea ubaguzi kama ndio mtaji wao wa kisiasa.
 
Kwa hiyo Hizbu walimaanisha wale waliochanganya damu kati Waafrika na Waarabu?
 
Kwa hiyo Hizbu walimaanisha wale waliochanganya damu kati Waafrika na Waarabu?

walichomaanisha ni kuwa machotara kwa maana jamii ya waliochanganya damu ni kuwa wanatokana na chama cha Hizbu kwa maana ya chama cha ZNP, na Zanzibar inamilikiwa na CCM/ASP ambao ni chama cha waafrica.
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?

Mwenye Ufahamu atujuze
Kwa mujibu wakatiba yetu Tanzania.
Wa zanzibari ni watanzania na wanahaki popote Tanzania.
Siwatanzania wote wenye haki zanzibar, kwa hivyo watanzania wazanzibari ndio wenye haki Zanzibar.

Watanzania wazanzibari tuu ndio wenye haki ya kupiga kura au kupigiwa kura kwa uraisi wa Zanzibar au uwakilishi wa wazanzibari.
Watanzania wote wakiwemo wazanzibari wa nahaki ya kupiga au kupigiwa kura ya Uraisi wa muungano na ubunge.

Ndio maana kuana chaguzi mbili za Zanzibar na za muungano.
 
Back
Top Bottom