Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Ndio maana Serikali 3 Muhimu ili wote tufaidi Matunda ya muunganoUrais wa Tanzania ni swala la Muungano lakini urais wa Z'bar si swala Muungano.
Mbona Raisi wa sasa ni mtu wa Mkuranga.Urais wa Tanzania ni swala la Muungano lakini urais wa Z'bar si swala Muungano.
Walishajichanganya tokea kwa baba yake. Mana huyu nae jina la familia ndo limembeba.Mbona Raisi wa sasa ni mtu wa Mkuranga.
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Naomba mwenye kuelewa neno HIZBU anielimishe nipate kujua maana ykeKarume, Jumbe, Mwinyi's hao wote ni Wakaazi tu!
Nani kakwambia kama Mtanganyika hawezi kugombea? Hii ni nchi moja ya JMT!
Karume, Jumbe, Mwinyi's hao wote ni Wakaazi tu!
Nani kakwambia kama Mtanganyika hawezi kugombea? Hii ni nchi moja ya JMT!
Unaweza kuzibitisha hawa hawakuwa wanzibar .....
Sina uhakika sana , Ila ni dhehebunla kiislam la Hezbollah so watu wake ndio hizbuNaomba mwenye kuelewa neno HIZBU anielimishe nipate kujua maana yke
Naomba mwenye kuelewa neno HIZBU anielimishe nipate kujua maana yke
Sina uhakika sana , Ila ni dhehebunla kiislam la Hezbollah so watu wake ndio hizbu
Huyo ni Mzanzibara!Mbona Raisi wa sasa ni mtu wa Mkuranga.
Wahezbollah huitwa hizbu mkuu....huenda ni synonymsHizbu ni neno la kiarabu lenye maana ya chama.
sasa sijui hio Hizbu yako umekusudia nini, au kwa kua umekua ukilisikia sana hilo neno kuhusu Zanzibar?
Mahesabu ya Mungu ni makali Sana,alipomchukua S.Hamadi jua muungano si wa kufa.Ndio maana Serikali 3 Muhimu ili wote tufaidi Matunda ya muungano