ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Google!Naomba mwenye kuelewa neno HIZBU anielimishe nipate kujua maana yke
Na alipomchukua Hitler kwa hiyo dunia haina mwisho au?Mahesabu ya Mungu ni makali Sana,alipomchukua S.Hamadi jua muungano si wa kufa.
Mbona Rais wa pili - Mwinyi ni mtu wa Mkuranga, Rais wa tatu - Jumbe ni wa Kigamboni na huyu wa nane naye ni kutoka Mkuranga. Hebu yaseme haya. Hakuna uraia wa Zanzibar ila kuna uraia wa Tanzania. Mama yupo mpaka muhula wake uishe na mwingine japo kwa ngekewa anaweza kuwepo kwani ni haki yao kwa mujibu wa katiba na hili halikwepeki kwani Mungu ni MKUBWA upende usipende. Mkuu tutabanana hapahapa.Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Zanzibar ni Tanzania,ukiwa Mtanzania(wazanzibsr ni watanzania),una haki ya kugombea Uraisi wa TZ.lakini Tanganyika sio Zanzibar.Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala
Kwanini MTANZANIA Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Wazazi wa Mzee mwinyi walihamia Zanzibar wakachukua ukazi wa Zanzibar wakawa wazanzibarMbona Rais wa pili - Mwinyi ni mtu wa Mkuranga, Rais wa tatu - Jumbe ni wa Kigamboni na huyu wa nane naye ni kutoka Mkuranga. Hebu yaseme haya. Hakuna uraia wa Zanzibar ila kuna uraia wa Tanzania. Mama yupo mpaka muhula wake uishe na mwingine japo kwa ngekewa anaweza kuwepo kwani ni haki yao kwa mujibu wa katiba na hili halikwepeki kwani Mungu ni MKUBWA upende usipende. Mkuu tutabanana hapahapa.
Wazanzibari wote ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uraia ya 1995 na wanahaki sawa kama Watanzania wengine. Hivi vijineno havifai. Watu wanaelewa kila kitu. Wakati mwingine tuwe wastaarabu.Wazazi wa Mzee mwinyi walihamia Zanzibar wakachukua ukazi wa Zanzibar wakawa wazanzibar
Wahezbollah huitwa hizbu mkuu....huenda ni synonyms
Naona tofauti;WAZANZIBARI WANA ROHO MBAYA SANA HALAFU NI WABINAFSI.
SUBIRI UONE PICHA HALISI KUTOKA KWA HUYU MAMA.
Ukifanya kazi Unguja ndio utajua Tanzania sio moja. Ubaguzi unaanzia kwenye boat wakati wa kwenda.Naona tofauti;
Watu wa pwani wana utu na siyo wabinafsi kuliko wale wa bara.
Ukatili, wizi, uuaji na matendo mengine mabaya dhidi ya raia wenzao huasisiwa na viongozi wasiokuwa na busara kutoka bara.
Pwani kuna ustaarabu unaoambatana na uvivu wakati bara kuna unyama/ukatili unaoambatana na uchapakazi.
Kunatakiwa uboreshaji pande zote.
Nakumbuka bango flani lilikuwa likitembezwa lenye maandishi ya Machotara Hizbu, Zanzibar ni Nchi ya WaafrikaHizbu ni neno la kiarabu lenye maana ya chama.
sasa sijui hio Hizbu yako umekusudia nini, au kwa kua umekua ukilisikia sana hilo neno kuhusu Zanzibar?
Nakumbuka bango flani lilikuwa likitembezwa lenye maandishi ya Machotara Hizbu, Zanzibar ni Nchi ya Waafrika
Ukifanya kazi Unguja ndio utajua Tanzania sio moja. Ubaguzi unaanzia kwenye boat wakati wa kwenda.
Kwa hiyo Hizbu walimaanisha wale waliochanganya damu kati Waafrika na Waarabu?hao walikusudia kupiga kukipiga kijembe cha cha siasa cha zamani huko Zanzibar ambacho kulikuepo wakati wa kupigania uhuru. Ni wapuuzi wanaendelea kuishi kwa kutegemea ubaguzi kama ndio mtaji wao wa kisiasa.
Kwa hiyo Hizbu walimaanisha wale waliochanganya damu kati Waafrika na Waarabu?
Kwa mujibu wakatiba yetu Tanzania.Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
SawaPunguza kukariri mkuu, hizb ni chama au Party wazungu wanaita.