Yaani wewe mlokole unataka twende harusini tukale nyama na kunywa bia saa tano asubuhi? Hujitambui wewe. Kama harusi yako unataka kuwapa watu chai na maandazi kafanyie nyumbani kwako, na hatuji!Eid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu wameshachoka na pengine hata kuishiwa na hamu.
Naomba kuuliza kuna umuhimu wowote wa sherehe hizi kufanyika usiku badala ya mchana?
Kwanini zisianze mapema na kutamatika Saa 1 usiku na ikichelewa Sana iwe Saa 2 usiku ili wahusika waweze kuwahi makwao mapema na kupunguziana uchovu?
Nawasilisha
Kakuleta mulemule 🤣🤣Ni uchoyo, ulevi, uzinzi unawasumbua.
Kwa hizo siku nikikukuta harusini usiku nitambue na wewe umekuwa mchoyo, au mlevi au mzinzi?Ni uchoyo, ulevi, uzinzi unawasumbua.
Ni uchoyo hasa,Kwa hizo siku nikikukuta harusini usiku nitambue na wewe umekuwa mchoyo, au mlevi au mzinzi?
Tangu nianze kwenda harusini nimeenda usiku tu, na sijawa hivyo vitu vitatu badoNi uchoyo hasa,
Sasa ukweli usemwe tubadilike sote,
Sipo kumhukumu mtu hapa, ni kukumbushana turudi kwenye pendo la kwanza!
Saa Tano wamewahi, saa Saba!Chakula kinaliwa saa 5 usiku watu washalewa
Una akili sana mdau ,ndio maana ukaitwa mdau kwa sababu unalipia.Usiku ndio raha mkuu pombe za usiku zinanoga mno
Naongelea uchoyo kimfumo SI mtu binafsi,Tangu nianze kwenda harusini nimeenda usiku tu, na sijawa hivyo vitu vitatu bado
Karibu kigamboni hapa nipo bia ya 2 nikimaliza naenda posta casino kusafisha macho 😎Una akili sana mdau ,ndio maana ukaitwa mdau kwa sababu unalipia.