Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
😁😁😁Karibu kigamboni hapa nipo bia ya 2 nikimaliza naenda posta casino kusafisha macho 😎
Hakuna umuhimu wowote...Naomba kuuliza kuna umuhimu wowote wa sherehe hizi kufanyika usiku badala ya mchana?
Wazo zuri sana hili...Kwanini zisianze mapema na kutamatika Saa 1 usiku na ikichelewa Sana iwe Saa 2 usiku ili wahusika waweze kuwahi makwao mapema na kupunguziana uchovu?
Kwamba wengi wanapendelea usiku ili ku limit idadi ya wahudhuriaji mkuu.?Ni uchoyo, ulevi, uzinzi unawasumbua.
Siyo suala la ulokole mkuu, Bali ni suala la kujali muda na kuepusha kurefusha mambo bila sababu za msingi , hivyo vitu vinaweza kuliwa mapema Tu bila shida mbonaYaani wewe mlokole unataka twende harusini tukale nyama na kunywa bia saa tano asubuhi? Hujitambui wewe. Kama harusi yako unataka kuwapa watu chai na maandazi kafanyie nyumbani kwako, na hatuji!
Inawezekana mkuu, lakini matukio mengi ya sherehe yanafanyika mwisho wa wiki , wengi wanakuwa na nafasi ya kuhudhuria mapemaWatu wengi mchana bado wapo wanawatumikia waajiri wao.
Duhh, kama yapi Kwa mfano mkuu?Usiku unaficha mengi
Mkuu naona ni suala la mazoea Tu, shughuli kunoga haihitaji Giza Ili inoge ! Inaweza kufanyika mapema Jioni au mchana na bado ikafanaMchana muda wa kutafuta pesa, usiku ndio tunakua free sasa..!!
Hii ni kwa waalikwa, na unajua shughuli ni watu, hivyo mchana haiwezi kunoga kibongo bongo..
Zaidi ni uchoyo na ubinafsi kulleta matabaka kubagua maskini , Kuondoa hamasa ya ndoa na harusi kwa watoto na vijana wanaponaguliwa kushiriki nk nkKwamba wengi wanapendelea usiku ili ku limit idadi ya wahudhuriaji mkuu.?
Duhh"Most things taste sweet, feel good, and go well when done at night"
- Nomadix
Hatusemehi kunoga, tunasemea ushiriki wa watu nyakati za mchana wengi wapo kwenye mishe zao (Kwa wageni waalikwa) tofauti na wenyeji wao wanakua washapanga ratiba zao mapema.Mkuu naona ni suala la mazoea Tu, shughuli kunoga haihitaji Giza Ili inoge ! Inaweza kufanyika mapema Jioni au mchana na bado ikafana
Hakika Giza Siyo zuriHizi harusi za usiku nyingi ni ushenzi na uhuni mtupu. Kwanza ni harusi za kibaguzi na kichoyo, kuna mavazi ya kikahaba wanavaa wanawake, ni full ulevi. Harusi safi hufungwa mchana na sherehe yake ni mchana peupe bwana na bibi harusi wapate muda wa kwenda kuzinduana mapema na bi harusi aamke mapema alfajiri tayari kuwajibika kwa mambo ya nyumbani kwake
Kama yapi mkuuUsiku unaficha mengi