Je kwanini sherehe nyingi za harusi hufanyika usiku?

Ningekuwa mchungaji ningepiga marufuku harusi za usiku kanisani kwangu. Hutaki hama kanisa kafunge ndoa kwenye makanisa yanayoruhusu harusi zifanyike usiku
 
Ningekuwa mchungaji ningepiga marufuku harusi za usiku kanisani kwangu. Hutaki hama kanisa kafunge ndoa kwenye makanisa yanayoruhusu harusi zifanyike usiku

Mkuu sherehe ndio hufanyika usiku Ila hamna Ndoa inayofungwa usiku, Serikali hairuhusu Hilo Jambo kabisa. Nafikiri ikivuka saa 11/12 Jioni ni marufuku Ndoa kufungwa.
 
Hapo mnaongelea dar-es-salaam tu. Ila huku ngoma mchana. Saa mbili usiku wanakusanya tu viti
 
Duhh, kama yapi Kwa mfano mkuu?
we huoni yale majimama na masistaduu wanavyovaa? Unakuta jitu limevaa nguo nyashi yote imebana mistari ya chupi inaonekana wahuni wanawaza watawapataje
 
Kuzinduana? Wengi wao wanakuwa walishazinduana kitambooo!
Wengine mpaka mimba zinakuwa kubwa tu
 
Mkuu sherehe ndio hufanyika usiku Ila hamna Ndoa inayofungwa usiku, Serikali hairuhusu Hilo Jambo kabisa. Nafikiri ikivuka saa 11/12 Jioni ni marufuku Ndoa kufungwa.
ishu ni sherehe kufanyika usiku ukumbini, ndoa hufungwa mapema tu wengine saa nne wengiine saa kumi jioni, sasa nini kinapelekea sherehe kufanyika usiku?
 
Kuzinduana? Wengi wao wanakuwa walishazinduana kitambooo!
Wengine mpaka mimba zinakuwa kubwa tu
hili la kuzinduana mapema kabla ya ndoa kufungwa huko ni kukosa maadili ya dini na mila. Ni kweli kumekuwepo na mimba tayari na hawachukuliwi hatua za kinidhamu
 
Ni kutoa nafasi kufanya mambo baada ya kazi mbali na kuwa fursa ya kufanya mambo ya kikubwa hata ya hovyo
 
Mara nyingi mchana watu wanakua na heka heka za kutafuta pesa, ndo maana sherehe hizo hufanyika usiku wakiamini watu wameshatoka kazini.
 
Unakuta waliofainance hio shughuli wanapatikana mda huo...kingine NI jamaa zako mida hio ndio mida yenu...lakini ukiamua unaweza kufanya mchana na nilishawahi kufanya mchana na ikawa funny japo walikuja wachache waukweli hao ndio wangu SAA 12:30...kila MTU natafuta usafiri kasepa chakali
 
Hali ya hewa, ngono....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…