Suzi Rafael
Member
- Sep 5, 2026
- 51
- 65
**Tanzania Ina zaidi ya aina 50 ya MADINI
· Gold
· Diamond
· Iron ore
· Nickel
· Copper
· Cobalt
· Silver
· Tanzanite
· Tin
· Ruby
· Limestone
· Soda ash
· Gypsum
· Salt
· Phosphate
· Coal
· Uranium
· Gravel
· Graphite
· Sand
· Cut stone
· Platinum Group Metals (PGMs)
· Platinum
· Palladium
· Rhodium
· Rhenium
· Osmium
· Iridium
· Lead
· Titanium
· Manganese
· Tungsten
· Chromium
· Vanadium
· Mercury
· Aluminium
· Bauxite
· Rare Earth Elements (REEs)
· Neodymium
· Praseodymium
· Lanthanum
· Cerium
· Niobium
· Tantalum
· Lithium
· Sapphire
· Emerald
· Garnet
· Tsavorite
· Rhodolite
· Spinel
· Tourmaline
· Aquamarine
· Alexandrite
· Amethyst
· Zircon
· Scapolite
· Topaz
· Iolite
· Peridot
· Chrysoberyl
· Cat's-eye chrysoberyl
· Chrysoprase
· Opal
· Prase opal
· Moonstone
· Kyanite
· Magnesite
· Amazonite
· Anyolite
· Diopside
· Enstatite
· Epidote
· Euclase
· Fluorite
· Hypers theme
· Idocrase
· Kornerupine
· Malachite
· Pearls
· Phenakite
· Rhodonite
· Sillimanite
· Sinhalite
· Sphene
· Turquoise
· Amblygonite
· Andalusite
· Apatite
· Bronzite
· Cryptocrystalline Quartz
· Rock Crystal Quartz
· Beryl
· Emerald (Beryl variety)
· Aquamarine (Beryl variety)
· Kaolin
· Silica sand
· Feldspar
· Dolomite
· Diatomite
· Bentonite
· Fuller's Earth
· Ball Clay
· Meerschaum
· Mica
· Vermiculite
· Corundum
· Pozzolana
· Asbestos
· Pumice
· Zeolite
· Forsterite
· Soapstone
· Nepheline Syenite
· Granite
· Marble
· Travertine
· Calcite
· Heavy Mineral Sands
· White Sands
· Thorium
· Helium Gas
· Carbon Dioxide
· Natural Gas
· Potash
· Barite
· Borate
· Fluorspar
· Rock Phosphate
· Olivine
· Staurolite
· Ilmenite
· Perlite
· Magnetite
· Labradorite
· Almandine-Pyrope
· Pyrope-Spessartine (Mahenge Garnet)
· Chrome Tourmaline
· Zoisite (Blue Zoisite / Tanzanite)
Huku Zipo Nchi zikiwa Zimetajirika Kwa Aina 1 tu ya MADINI mfano Mzuri Botswana Uchumi wa Diamond
JE Tanzania na Aina zaidi ya 50+ Ya MADINI, lakini Uchumi wa kawaida
Hili Taifa ni tajiri sana, ila Hatuwezi kufika huko ikiwa tuna Mifumo Kandamizi iliyopo Chini ya Utawala wa Kidhalimu wa CCM
Kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Tanzania imepoteza/imepata hasara takribani Dola za kimarekani $84 billion sawa na Tsh Trillion 213.68. Toka mwaka 1988 Hadi 2026 Kwa sababu ya MIKATABA FEKI NA MIBOVU, UTAKATISHAJI MADINI NA USIMAMIZI MDOGO WA SEKTA YA MADINI.
UKUBWA WA HASARA HII NI UPI?
1. Ulinganisho wa Hasara ya SEKTA ya MADINI na Uchumi Wa Tanzania mwaka 2026
Uchumi wa Tanzania Kwa kuangalia Gross Domestic Products (GDP) Kwa mwaka 2025/2026 ulikuwa ni Dola za kimarekani $92.03 billion.
Hii, inamaana Hasara ya Sekta ya MADINI (1988-2026) ni sawa na Asilimia 92% ya Uchumi Wa Tanzania wote.
TAFAKURI: Yaani hasara ni karibia uchumi mzima wa Tanzania mwaka 2026/26.
CCM hongereni, Taifa la Tanzania mnalibia Hadi Shetani amewapigia saluti. Asilimia 92% ya Uchumi wote.
2. Ulinganisho wa Hasara ya Sekta Ya MADINI na Deni la Taifa la Tanzania 2026;
Deni la Taifa la Tanzania Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG ni Dola za kimarekani $46.5 billion sawa na TZS 116 Trillion.
Hii inamaana, Hasara ya Sekta ya MADINI ni sawa na Asilimia mia 200% ya Deni la Taifa Yaani ni mara mbili (2x) ya Deni lote la Taifa
Yaani, Hasara Ya Sekta ya MADINI ni mara mbili ya Deni lote la Taifa ikimaanisha Hasara ya Sekta ya MADINI inaweza lipa Deni lote la Taifa na nusu ya Fedha ikabaki.
Duuh, Kweli CCM tumeipenda wenyewe, Wacha tuisombe nambe ehee!! CCM mbele Kwa Mbele
3. Ulinganisho wa Hasara ya Sekta ya MADINI na Bajeti ya Serikali ya Mwaka huu 2026/27.
• Bajeti Ya Serikali Kwa mwaka huu 2026/27 ni sawa na Dola za Kimarekani $24 billion sawa na TZS 62.33 Trillion.
Hii, inamaanisha Hasara ya Sekta ya MADINI ni sawa na Asilimia 342.8% ya Bajeti ya Serikali mwaka huu.
Kwa maana fupi, Ni mara tatu (3x) ya Bajeti yote.
Yaani Hasara Ya Sekta ya MADINI inaweza Kufadhili Bajeti ya Tanzania ya Mwaka huu Kwa Miaka 3 na Nusu mfululizo.
TAFAKURI FUPI
1. Hivi Tanzania tuna serikali ya Wananchi au Tuna Serikali ya Genge la Wezi?
2. Kwa miaka 38 (1988-2026) tumepoteza fedha nyingi kiasi hicho, kwenye mikataba FEKI, waliosaini mikataba hiyo Bado wanaachwa tu alafu maskini akikutwa na bangi JELA miaka 30 au mbao haramu JELA miaka 20, Hii kweli VIJANA wakiundwa vikundi vya Uasi kama DR Congo mtasema hawapendi Amani?
3. Watanzania sio maskini Kwa utajiri walionao hivi fikiria hiyo ni Sekta Moja tu Ya Uchumi Zipo Sekta zaidi ya 40+.Tanzania sio maskini Bali inaendeshwa na watu ambao Umaskini wa Watanzania ni Mtaji kwao wa Kisiasa. Rais Magufuli alipambana sana, mfumo wa Kidhalimu wa CCm ukamuwahi na kumuondosha. Tanzania tukipata Rais Mzalendo, Mtetezi wa Wanyonge na Mwenye HOFU ya Mungu ndani ya Miaka 10, Umaskini unaweza kuwa historia ?
4.Mtanzania yeyote Maskini Tanzania, usihuzunike Wala usione hiyo ni hatma Yako, ni Watu wachache walipo kwenye Mfumo kandamizi wa CCM ndio wanaokuendeleza kuwa maskini huku utajiri wa Taifa wakiuteka nyara wao.
5. VIJANA wengi wanateseka kufanya kazi ngumu sana wakidhani ndio Mungu alichowajaalia. Unapambana kupata Laki 5 mwezi 1 huku utajiri wako ukitekwa nyara. Hebu tuhamishe Nguvu zetu VIJANA kutoka kwenye Mambo yasiyo na Tija kama Mpira, Betting (Kamari), Udaku na Umbea tulipambanie taifa letu wenyewe. VIJANA tuache maneno mengi tuwekeze Nguvu kwenye vitendo. Mitandao iwe jukwaa la kupana Kakati ya Ukombozi wa Taifa letu, huku tukionesha vitendo mitaani
" NOBODY IS COMING TO SAVE YOU, WE MUST SAVE OURSELVES" Malcom X
"HAKUNA ATAKAYE KUJA KUTUKOMBOA, LAZIMA TUJIKOMBOE SISI WENYEWE"
6. Hakuna Kuchoka katika Kudai Haki na Sio lazima Tuandamane ili tupate uhuru wetu, zipo njia nyingi zinaweza kuwa wapa pressa WAKANDAMIZAJI na Mafisadi wa CCM.
Hebu Fikiria Toka Tanzania ipate uhuru Kwa miaka 65 Ina
1. Barabara zenye urefu wa Km² 16,500 tu huku Ukubwa wa Nchi yetu Ina Ukubwa wa Km² 965,000 sawa na Asilimia 17.1% tu.
2. Fedha yetu imeporomoka thamani Toka Mwaka 1964( US Dola 1 = Tsh 7.01) Hadi 2026 (1 US Dollar = Tsh 2640) huku Kenya Tsh ikiwa thamani kubwa kuliko yetu TZS mara 28 (28x).
3. Miundombinu ya Usafiri kama Barabara, Reli, Majini na Angani Bado ni Shida.
4. Maji na Umeme Bado ni Shida, lini Kukatika Maji na Umeme Tanzania itabaki Historia ya kufikirika?
5. Huduma za Afya Bado ni changamoto kubwa sana, lini Huduma za Afya zitakuwa Bure Kwa wote?
6. Makazi Bora sio ufahari Bali mahitaji ya msingi na utu wa Binadamu, Lini Watanzania watasahau Slums (Makazi yà Uswahilini) na wasio na màkazi watapata affordable housing?
kiukweli, Kwa uchungu mkubwa na Mapenzi Kwa Taifa langu Tanzania, Namuunga mkono Makamu wa Rais Aliyepita Dr. Emmanuel Nchimbi VIJANA tupambanie katiba mpya na kuongeza na Mifumo yote Kandamizi ya Kiuchumi, Na Kijamii.
Tundu Lissu sio Mhaini,
Wahaini halisi wapo Ikulu, Wapo Wizarani, Wapo Mitaañi wanakula Mali za Taifa hili
CCM NI JANGA LA KITAIFA NA MFUMO KANDAMIZI.
FREE TUNDU LISSU
FREE POLE POLE
FREE NCHIMBI
INASIKITISHA SANA!!!!!!
Watanzania na Watanganyika hawatamsahau kamwe Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE Kwa madhila na mateso aliyotusababishia.
Yapi Maoni Yako, Tuanze kumwaga mbinu za Mapambano dhidi ya kudai Nchi yetu na Nini Maoni Yako juu ya Hili?
NAWASILISHA**