Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 182
Hilo jina sio "KILIMANJARO" ? maana kuna mtoto wa mwana mfalme alisema watu waishio kule ni wezi. Kwa hiyo sishangai kama litakuwa limekataliwa. Halafu kama kuna ARUSHA TIMES kwanini neno lingine la mkoa likataliwe? Huyo jamaa yako amekuongopea tu sidhani kama kuna sheria kama hiyo.
Hata mimi sidhani kama amekataliwa, kuna jambo amefichwa, ni vyema akafuatilia mwenyewe