Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

Twoten

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
2,052
Reaction score
2,163
Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na wana CCM?
 
Back
Top Bottom