pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Inategemea na utawala uliopoKenya wenye degree wasio na kazi wapo wengi tu, lakini bado watumishi wa umma wanagoma kudai stahiki zao.
Tz tunaasili ya uwoga.
Kuna mambo watu wanaomuunga mkono magu wangejuwa wasingekuwa na misimamo hii ya sasaWapo kwenye mgomo baridi hujajua tu
Kwa uandishi kama huu usitegemee mgomoWaoga kupita kiasi, hawana ushirikiano, mamluki tiss watavujisha hata kabla ya mpango, wanadhani watafukuzwa serikali haina uwezo wa kureplace ikiwafukuza watumishi zaidi ya 500000 kwa muda mfupi, mgomo lazima kuwe na kiongozi wa kuongoza akitokea tu tiss wanaenda kumtoa kucha na meno kwa praizi.Moshi wa mwenge unawadhuru sana watanzania wote wanakuwa kama ndondocha.
Sasa we jamaa! Mi nazungumzia TZ tunaasili ya uoga.Inategemea na utawala uliopo
North Korea, China, Russia wana asili ya uoga?
Labda kipindi hiki wanavyuo wanapatiwa stahiki zao kwa wakati tofauti na kipindi cha jk, kipindi cha jk migomo ilikuwa kila mwaka vyuoni itakuwa kulikuwa na udhaifu sehemu, sasa jiwe kadhibiti viongozi wa zembe.Siyo dalili nzuri kujenga kundi la vijana wasioweza kuhoji. Taifa lenye vijana wanaokuwa ni ndio bwana kwa kila kitu litakuwa ni mzigo kwa ustawi wa nchi.
kuna experience mkuu hao wasomi wanaoshinda instagram?Saivi wakigoma wanakuwa replaced chap, maana wasomi wako wengi mtaani hawana kazi!