Manigga Qwame Member Joined Jul 10, 2021 Posts 85 Reaction score 139 Nov 22, 2024 #81 DR Mambo Jambo said: Sawa haina tatizo tuambieni Mkunjo wa Duara kwenyr Dunia Unaanzia wapi Click to expand... Nilikaririgi izo mavitu skuli braza, reality Mimi ni mtupu kabisa kwenya ayo mazaga
DR Mambo Jambo said: Sawa haina tatizo tuambieni Mkunjo wa Duara kwenyr Dunia Unaanzia wapi Click to expand... Nilikaririgi izo mavitu skuli braza, reality Mimi ni mtupu kabisa kwenya ayo mazaga
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Nov 22, 2024 #82 Isaya 40:22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la Dunia. ....mwisho wa kunukuu..... Dunia ni duara ila Si kama chungwa, Bali ni kama coin au sarafu. Na Dunia haizunguki ila jua na mwezi ndizo huzunguka.
Isaya 40:22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la Dunia. ....mwisho wa kunukuu..... Dunia ni duara ila Si kama chungwa, Bali ni kama coin au sarafu. Na Dunia haizunguki ila jua na mwezi ndizo huzunguka.