Je, kweli dunia ni duara?

Je, kweli dunia ni duara?

Wanaoamini dunia ni flat ni wajinga tu, wanauelewa mdogo wa mambo,

Waulize tu, umbali wa Japan na Marekani, na why East Cost ya Amerika iko karibu na Europe while West Cost iko karibu na Japan/China/Russia
Jibu mada usilete pointless hapa
 
Hata ukiambiwa ni flat au pembe tatu halafu ukaambiwa unadanganywa ni duara sababu kwenye ukingo kuna vito vya thamani, kinachofata ni nini?
 
Jibu mada usilete pointless hapa
Ndiyo watu wenye akili mdogo hubehave

They don't think and speak, they speak, speak and speak.

Jifundishe kufikiria,

Seems hata ndege hujawahi panda, especially 10+ hrs flight, uone dunia ilivo chini ya mawingu. Think and explore to expand your mind
 
Kwahyo Mkunjo unaanzia Kwenye macho yangu??
How
ma pilot wanaopaa juu sana ft kama 35,000 kwenye clear day walishasema wanauwezo wa kuona hiyo curve, pia sun rise na sun sets kwenye bahari inaonyesha kuwa kuna curve, hata light pia inacurve kwa kufuta the curvature of space licha ya kuwa light ina travel in straight line
 
satellite ni lazima izunguke dunia, jua au sayari nyingine ili kustahimili position bila kutumia nguvu
 
Kwahyo Mkunjo unaanzia Kwenye macho yangu??
How
Kama Dunia ingekuwa duara watu wangewezaje kuishi na kutembea na kujenga juu yake!?. Nyumba imara bila kudondoka!?. Chukueni yai weka mchanga uone kama utakaa. Huhitaji hata sayansi kujua hili. Watu wa chini ya Dunia wangetembea miguu juu kichwa chini😂
 
Kama karne hii ya 21 bado kuna watu wanaamini dunia ni flat,wanahitaji kupimwa akili.
 
Ndiyo watu wenye akili mdogo hubehave

They don't think and speak, they speak, speak and speak.

Jifundishe kufikiria,

Seems hata ndege hujawahi panda, especially 10+ hrs flight, uone dunia ilivo chini ya mawingu. Think and explore to expand your mind
Hahahaha ni vipi nikikwambia nimepanda ndege sana zaidi yako.. hahahaha wewe ndio low IQ ona sasa unavyoongea vitu ambavyo havina maana sasa ndege na macho vinakupa uhalisia gani wa kitu kama hichi hahaha kabla hujaongelea kitu tumia akili firiki kwanza mara nyingi watu wasiokuwa na akili hupenda sana kujbu kujipandisha juu na kuleta dhihaka, sikia una maanisha flat earth wanafikiri LOW IQ si ndio unajua kama kuna wana anga maarufu wenye uwezo wao na akili zao wanasema Dunia ni flat unajua kuna watu kibao wenye HIGH IQ wanasema dunia flat.. una maana wao hawana akili ila wewe uliepandana ndege ukaona kwa macho ndio una akili na unafikiria kwamba hao wana anga hawajawai kupanda ndege..!? Au hawafikirii.. kwanza kutumia English sababu hata akili zenyewe huna.. jibu kwa hoja za msingi bila kushusha watu hadhi sababu hujui unaongea na watu wenye uwezo kiasi gani acha kuutangaza ujinga wako hadharani.. Shame on you
 
Kama Dunia ingekuwa duara watu wangewezaje kuishi na kutembea na kujenga juu yake!?. Nyumba imara bila kudondoka!?. Chukueni yai weka mchanga uone kama utakaa. Huhitaji hata sayansi kujua hili. Watu wa chini ya Dunia wangetembea miguu juu kichwa chini😂
chukulia mfano wa sumaku yenye umbo la duara hakuna sehemu ambapo chembechembe za chuma zitadondoka
 
Kama Dunia ingekuwa duara watu wangewezaje kuishi na kutembea na kujenga juu yake!?. Nyumba imara bila kudondoka!?. Chukueni yai weka mchanga uone kama utakaa. Huhitaji hata sayansi kujua hili. Watu wa chini ya Dunia wangetembea miguu juu kichwa chini😂
Sababu ya gravity,
 
Nataka nikuulize swali satellite ndio inazunguka Dunia au Dunia ndio inazunguka satellite
Satelite inazunguka dunia na speed yake ikiwa balance na gravitational pull ya dunia.theory ya general relativity Chombo chenye mass ndogo lazima kitafuata gravity ya chombo chenye mass kubwa
 
Back
Top Bottom