Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
- Thread starter
- #41
Jibu mada usilete pointless hapaWanaoamini dunia ni flat ni wajinga tu, wanauelewa mdogo wa mambo,
Waulize tu, umbali wa Japan na Marekani, na why East Cost ya Amerika iko karibu na Europe while West Cost iko karibu na Japan/China/Russia