Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Zimepungua zinahitaji kuongezwa!🙄
No need bana we hakikisha Mazee anakuwa nazo za Kutosha, Mpe Misosi Kabambe, Ma mili Kamili, Mambo ya mboga nane na Hakika Shughuli yake utaipenda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimepungua zinahitaji kuongezwa!🙄
kweli shost maana wakijua viumbe hawa hawakawiii kutoa thread...ohh kumbe wanawake nao wanataka nguvu...haiwahusu
Haloooo! Haiwahuu!
Wao si tunajua wakisema nguvu wanamaanisha mshindo kwa saa moja.
Wangelijua. Tukishikwa mahala tu, yeye sisi ni dakika 5 then in 3 minutes tumo tena.
Haloooo! Haiwahuu!
Wao si tunajua wakisema nguvu wanamaanisha mshindo kwa saa moja.
Wangelijua. Tukishikwa mahala tu, yeye sisi ni dakika 5 then in 3 minutes tumo tena.
Hakuna cha Valuu wala nini Kidume kama Ukiwa na Mazoea ya hata Kuruka Kamba 400 kila siku, Unapiga Mzigo hakuna Kutepeta! Tatizo la Watu ni Kula Hovyo hawataki kufanya Mazoeozi! Fikiria Mtu mwenye Ratiba ifuatayo
Anaamka Asubuhi anaenda kazini na Gari yake, akifika Kazini anapinda Mgongo Mpaka Saa kumi na Moja, akitoka hapo anapitia baa anapata moja moto moja baridi, anarudi Nyumbani anaoga anaangalia TV then analala kesho keshokutwa 365 days * 5 years, huyu mtu ataweza hata kupiga Bao Moja Kweli?

Agreed. Check preta anasemaje hapo juu
hao tuwaangaliage tuu...mara ooh karanga, sijui valuu, sijui pweza...kama anajiamini si aje mkavu mkavu tuone...unaona kijamaa kinajitutumua kumbe kingejua rohoni unasema na huyu nae makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo....dume rijali haliitaji GPU...wasijidanganye
Sasa hapa tusijerushiana changa la macho. It is not the priority of the body to extract ENERGY from PROTEINS. Vyakula vya wanga ndio vyenye jukumu la kwanza la kuupa mwili nguvu - ugali kwa wingi tena dona basi na sio kivelege au kikobhole. Protein ni chaguo la tatu baada ya kukosekana carbohydrates na fats. Protein kazi yake kimsingi ni ulinzi wa mwili. Sasa jukwaa hili lina wataalam wa aina ya kumwaga. Nashangaa wataalam kuachia porojo zinazopotosha kuendelea kushamiri bila kutoa angalizo mapema. Au, hamjui kwamba urongo hunasa ubongoni kwa haraka zaidi kuliko ukweli?Chakula chochote chenye "PROTEIN" nyingi uongeza "ENERGY - in Cal value" (nguvu is too general) mwilini. Karanga zina protein nyingi na mafuta.
Potency haina uhusiano na Karanga in that sense!
Funguka mzee, leta shule tafadhalitukumbuke na shule kidogo......its true protein haiongezi nguvu ile ni "ujenzi" wa mwili kwa ujumla repairing of broken tissues and make up of new tissues especially for the new borns.....Nadhan watu wanachanganya sana kudhan karanga inaongeza nguvu za kiume naona kwa wengi ambao hawana elimu ya kibaologia zaidi....lakini kwa msaada tu chakula chenye antoxidants nyingi ama zinc ndiyo kinauwezo wa kukuongezea hizo mnaita nguvu za kiumeni.....kwa anayehitaji maelezo zaidi anaweza kuniuliza vyakula gani...comment naona
inakuwa ndefu sana