Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

Hili jambo limekaa kisaikolojia zaid. Ipo hv,
kila mwanaume ameumbwa kumridhisha mwanamke, ila hutokea mazingira ambayo humfanya mwanaume huyo kupoteza CONFIDENCE na hyo ndiyo chanzo kikuu cha kutoshiriki vyema tendo.
Sasa anapoambiwa either karanga, value, tikiti au asali mbichi huongeza nguvu, mara moja huvitafuta kwa gharama yoyote, na anapokuwa amevitumia, either karanga au value, ile CONFIDENCE inarud, na anakuwa amejitibu psychologically na hvyo anajikuta ameshiriki VYEMA katika tendo. Hapo hutoa sifa kwa vyakula hvyo na kupelekea simple advertisement ya hvyo vyakula kwa wengine.
Thanx to Lord for that working formula of love ..!

.
Cc: Lekanjobe Kubinika Preta Tigo Pesa Ujengelele jamadari ndetichia Albedo Bigirita
 
Last edited by a moderator:
kweli shost maana wakijua viumbe hawa hawakawiii kutoa thread...ohh kumbe wanawake nao wanataka nguvu...haiwahusu

Ha Ha Ha! Nimezipenda hizi comment! Wyh not haki sawa kwa wote wadada!
 

Hapa tunaongelea "Nguvu za KIUME" - right? Kama dona inaongeza "Nguvu za kiume" endeleea kuamini hivyo hivyo "mtaalamu"...!
 
Hapa tunaongelea "Nguvu za KIUME" - right? Kama dona inaongeza "Nguvu za kiume" endeleea kuamini hivyo hivyo "mtaalamu"...!
Sasa wewe kula hizo karanga na usile ugali kama hizo nguvu za kiume utazipata. Utazisikia redioni tu. Tafuta neno lingine basi, maana ukisema nguvu ukilinganisha na vyakula sisi tutakunyambulishia unachopaswa kujua. Wewe usichanganye dawa na chakula they are nat all the time synonymous words. NOT ALWAYS. But they very often synergize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…