Je, kweli Samuel Etoo aliwapigia Simba SC na kuwaambia wamsajili Willy Esomba Onana?

TUNAOMBA VIDEO AHMED AKISEMA KUWA ETO AMEPIGIA SIMU SIMBA KUMSAJILI ONANA.

Tunawapa taarifa sahihi kuwa pale Leaders Club Ahmed ALITANIA kuwa amepigiwa simu na Eto kupongeza KUMPATA Chemalone.

1. Etto Ndio RAIS WA shirikisho huko Cameroon.
2. Che Malone Alikuwa Cotton sport Cameroon .
HAPO KUNA UHUSIANO.

Onana ALIKUWA RWANDA
SO HAPA ETO ANAMJUAJE ONANA.

YANGA MPUNGUZE KUJIDHALILISHA.
TUKISEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU MTALIA?????????
NENDA KAITAFUTE.
 
Ukimuelewa Haji MANARA ndipo utaprove kuwa WENYE nazo ni wawili tu.
 
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"

Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).

Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??

Nawasilisha hoja.View attachment 2793756
🙌🏽
 
😂😂😂😂 wanakwambia tena wakati anasisitiza dakika ziliisha akasongesha akapiga tena kuendelea kusisitiza aje
 
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"

Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).

Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??

Nawasilisha hoja.View attachment 2793756
Unaumia saaaaana
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ukiwa na akili za kuvukia Barabara ndio utampigia makofi uyo Esomba kuwa ni mchezaji, mpira una vitu vingi sana kumuangalia mchezaji mzuri, angalia kwanza timu aliyocheza nayo ilikuwa inachezaje? Kafunga vigoli vya papatu papatu mmeanza kumuiba🤣🤣
 
Mbona nyie hamvifungi hivyo vigoli vya papatu?
 
Back
Top Bottom