Je kwenda haja kubwa/ndogo ni starehe katika mwili wa binadamu?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Naam

Kama kichwa kinavyoeleza...

Kama zilivyostarehe nyingine ktk mwili wa binadamu mfano kula, kunywa sex nk, je kwenda haja kubwa(kunya) au haja ndogo (kukojoa) nayo ni starehe ktk mwili wa binadamu.?

Maana kuna mtu nilisikia akisema ana enjoy pale aendapo haja hizo..
 
Ni starehe ndio. We hujawahi banwa mkojo na hujawahi kukojoa? Hii post lazima atakuwa kaandika mwanao. Sio kwa mawazo haya ya kitoto
 
Ni starehe ndio. We hujawahi banwa mkojo na hujawahi kukojoa? Hii post lazima atakuwa kaandika mwanao. Sio kwa mawazo haya ya kitoto
Kukojoa kunakupa starehe gan sasa
 
Jambo lolote zito katika mwili wa binadamu, liliumbiwa pumbazo ili kukufanya jambo hilo binadamu upende kulifanya, ulifanye kwa starehe. Utumike kulifanya ki roho safi ili usihitaji fidia.
Kujisaidia haja ndogo ama kubwa, limewekwa pumbazo hilo, ili unayefanya tendo hilo uone raha na burudani.
Kujamiiana na kufa pia kuna pumbazo la starehe. Ambapo binadamu wakati akikata roho hujisikia raha kama anavyosikia raha aipatayo afikapo kileleni.
Ndiyo maana uthibitisho mojawapo wa mtu kukata roho kwa baadhi ya watu ni kutoa manii kwa wanaume.
Kwa uthibitisho wa jambo hili, muulizeni Mshana jr.
 
Mkuu unamaanisha wewe aunyagi walA aukojoagi.safi kabisa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Haha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mwanamume akiwa anakata roho huwa ana pizi mkuu?
 
Mtu mwanamume akiwa anakata roho huwa ana pizi mkuu?
Ni mara nyingi imetokea hivyo wanaume kukutwa na manii itokayo wakati wa kukata roho.
Na hasa hicho ndiyo kipimo rahisi cha kuthibitisha kuwa binadamu huyu tayari kakata roho.
 

Mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…