Je, kwenye Abiola Cup Simba walepewa Medali?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.

Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?

 
Hahahaha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.... Mwakarobo FC wazee wa kulalamika.
 
Kwanza sitashangaa sana kwa vile hujui yale yalikuwa mashindano rasmi ya CAF maana hata uki google unakutana na kiingereza utajuaje maskini hadi usomewe na Mzee Manara ama JK.

Yale mliyolishwa kwenye magroup yenu ya WhatsApp ndiyo mnayoyajua.Hii ni sawa tu kwa vile wote humo wenye akili ni wawili tu.

Mwisho medali kwenye soka ni vichekesho tu soka siyo marathon.
Huenda hata hili kwa vile ni hamnazo huenda mliambiwa mnashindania medali.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Uki google inakuandikia Abiola cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…